Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

Fungua hiyo code mkuu, hii tena n mpya.
Wewe uko wapi mjini hapa? Kondoo wawili (pengine kuna wengine pia mi sijui) wameporomoshewa mijengo mmoja Kigamboni mwingine sikumbuki ni wapi.

Tena kuna siku nadhani Valentine ya mwaka juzi wahusika hao wawili walichambana kila mmoja anaringishia yeye ndio kamshika Mtumishi na anatamba naye.
 
Jee a rise and shine itakuwa inafanya kazi gani?
Enewei
Kampuni (...) kununua kampuni ni jambo kawaida na linaweza kuwa jambo ka heri.
Kwa hiyo Arise and Shine anatengeneza media conglomerate!!!
Ndio maana nimesema ni katika kutanua wigo wa huduma kwa waumini wake Wakuu.

Uhitaji wa huduma ni mkubwa, naye anafanya awezavyo apate kuwafikia waumini wake kiukamilifu.
 
Duuuh, hio sasa mbona mbaya sanaa,
Mm kwenye biashara ninavyoilinda sasa 😂😂 hata hela ya kula najibania 😂
 
Napinga redio za dini na tv za dini ....ushauri ni kwamba ni vema serikali ifungue redio moja tu kwa wakristo na moja tu kwa waislamu...kisha wakristo wote wawe wananunua huduma kwa hiyo redio na waislamu nao wanunue huduma kwenye radio yao ...redio za dini na tv zimekua nyingi wala hazina tija wala faida yoyote watu wanazidi kuwa waovu ...ni kama upumbavu wa misikitini wa kuamini dini ni hijabu wakati hakuna chochote ambacho ni faida kwa tz kwa watoto wanafunzi kuvaa hijabu ...maana ndiyo kwanza umalaya umeongezeka
 
Hii radio kwa Sasa haishawishi kbsaa, watangazaji wake hawana content kbsaaa hasa wale wa joto la asubuhi, yaan angalau kipindi kizuri kwa Sasa kweny hii radio ni "Genge"tu kile Cha usiku.
Transformer ya Jonijoo na Almando vp?
 
Sawa, hili ni jukwaa huru sipingani na maoni yako Mkuu.
 
Ukishamaliza kuandika kutag ni kipengele Mkuu, na ni wengi huwa wanaomba hivyo ila ukitaka kupata habari kwa haraka nifollow utaona nikipost.

Kazi yako unapitia news feed yako basi.
Nshaku follow tyr! Usijal mkuu
 
Hoja zako ngumu, siziwezi.
Wakristo mnapumbazwa na waislamu kwa kutengenezewa mitume feki na kuwapa vibari vya kuwapumbaza hili waislamu wazidi kushika njia kuu za uchumi wa nchi ...baada ya miaka 10 kutoka sasa hakuna mkristo atakaye kuwa tajiri wa maana ....matajiri wote watakuwa waislamu na zaidi waislamu wenye asili ya kiarabu ...wao ndiyo watakuwa waajili nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…