Mimi nachojua wachawi wana nguvu sana hadi serikalini wamejaa tele wapinzani wao wakiwazidi kiroho wanawafata kimwili kupitia Sheria.
Yeyeto akitokea kupambana na wachawi ni lazima serikali iwe upande wa wachawi mfano kamchape lambalamba kiboko ya wachawi ni lazima wachawi waombe msaada wa serikali