Mwamposa naona sasa baada ya Mpinzani wako na uliyekuwa ukimuogopa 'Kiboko ya Wachawi' Kufungiwa na Serikali, umenenepa ghafla

Mwamposa naona sasa baada ya Mpinzani wako na uliyekuwa ukimuogopa 'Kiboko ya Wachawi' Kufungiwa na Serikali, umenenepa ghafla

Mimi nachojua wachawi wana nguvu sana hadi serikalini wamejaa tele wapinzani wao wakiwazidi kiroho wanawafata kimwili kupitia Sheria.
Yeyeto akitokea kupambana na wachawi ni lazima serikali iwe upande wa wachawi mfano kamchape lambalamba kiboko ya wachawi ni lazima wachawi waombe msaada wa serikali
 
Kasema anakamilisha taratibu wachawi na majini wajipange.
Anasema Buza ilikua safi kabisa kaua kabisa ile roho ya kwa mpalange hivi ni vita tu kwa sababu anawaua wachawi
😂😂😂😂😂” roho ya kwa mpalange” is typing and deleting at the same time
 
Back
Top Bottom