Naanza na hii
●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners
Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and sunshine katika chupa ya maji ya 1 litre.
Wajinga ndio waliwao kuna kigogo nyuma ya mwamposa endeleeni kununua hayo maji[emoji1787]
●Dili la kuuziwa mafuta ya kula na mchanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vilivyoombewa mtu mzima unaakili timamu unanunuaje mchanga wewe na mwili mzima unanukia mafuta ya kula tu hahahaha daah aya
Mrisho, UKIWA NA AKILI TIMAMU HUWEZI NUNUA VITU HIVYO