Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Aya yanayotokea sasa yameshaelezwa kwenye vitabu vitakatifu,lazima yatimie
 
Askilize maoni ya watu wote na yeye ana maono yake unaelewa au huelewi man wewe unaenda kuw Jiwe kuzuia anachokifanya.

Fungua yako iliyokamilika kila kona.
Acha ujuaji.
 
Ujinga ni kitu hatari sana...... sijui ngozi nyeusi ina shida gani?
 
Hii ni kweli, hili suala la kuwafokea watendaji kazi wake, hata mimi silipendi
 
Uko sahihi kabisa. Mzee baba huwa hakemei watenda dhambi
 
Kwani kawalazimisha mwende huko?

Ni shida zenu na dhambi zenu zinawapeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…