Kijungu Moto
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 307
- 491
Aya yanayotokea sasa yameshaelezwa kwenye vitabu vitakatifu,lazima yatimie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askilize maoni ya watu wote na yeye ana maono yake unaelewa au huelewi man wewe unaenda kuw Jiwe kuzuia anachokifanya.Wewe ndo wale watu wasiopenda kukosolewa, ukikosolewa unashika mawe...unajisaidia kichakani tunakuambia afu we unatujibu kunyeni na nyie tusifwatiliane!? jifunze kuskiliza zaidi watu afu fanya kile unachopenda kufanyiwa na wengine na usifanye usichopenda kufanyiwa.
Ina laanaUjinga ni kitu hatari sana...... sijui ngozi nyeusi ina shida gani?
😆😆😆Waacheni wafokewe hawatendi kazi vyemaHii ni kweli, hili suala la kuwafokea watendaji kazi wake, hata mimi silipendi
Uko sahihi kabisa. Mzee baba huwa hakemei watenda dhambiMtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake.
1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana watoto na pengine hupelekea kukabwa usiku kwa waenda kwa miguu.
2. Kutokukemea dhambi, mimi ni mhudhuriaje mkubwa wa ibada kwa Mwamposa lakini skumbuk ni lini kakemea dhambi, ingawaje watu wanaenda pale wa kila aina, makahaba, malaya, wezi, mashoga n.k. Lakini mtumishi anadeal sana na kutoa baraka na upako pasipo kuhubiri amani,upendo,na maadili mema ukizingatia kuhusu jinamizi hili la ushoga, mtumishi ongelea ata hili tu kwa ufupi kanisa la mwamposa limekuwa kichaka cha watenda maovu, wanafurahia kutoongelewa. labda anahofia waumini kukimbia kanisa!?
3. Sadaka ni nyingi mmezipa majina mengi afu mnatoa baraka/upako kulingana na kipato cha mtu...yaan wewe mwenye elfu 5 unatofautishiwa baraka na yule mwenye kutoa elfu 50. Jambo hili linawafanya walio na kipato cha chini kujihisi wanyonge au kujihisi kupungukiwa na kitu..jambo hili binafsi linanikera na mnawapa adui zenu nafasi ya kupondea huduma hii.
4. Ukali(kufokewa).. mtumishi amekosa kauli ya kuwarekebisha watenda kazi wake pale wanapokosea amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwafokea mbele za watu na mbele ya kamera kama mtumishi unapaswa kuwa mtaratibu kukemea kwa hekima kwa kutambua wengine ni watu wazima wana familia zao...utasikia toa hyu apa wekeni mtu sahihi pale...walinzi,washika maiki, camera man, wanafanya kazi kwa hofu kubwa sanaaa..waondolee hofu wafanyakazi wako!
Ni hayo tu niliyobaini mimi..naomba yeyote mwenye uwezo wa kufikisha haya ayafikishe kwa namna yyte ilee.... lakini pamojaa na hayo nimepokea muujiza kupitia ibada yake mungu ambariki na ajirekebishe ili huduma iwe rafik kwa wengi! Ahsanten na samahani kwa uandishi mbovu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Waacheni wafokewe hawatendi kazi vyema
Umeonaeee sasa pamoja nakufokewa hasira zao wazimalize uko uko ktk maofisi sio mtaani😆😆Ni kweli hawako aggressive,
Wazito ktk kufikiri na kutenda.
Kwani kawalazimisha mwende huko?Mtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake.
1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana watoto na pengine hupelekea kukabwa usiku kwa waenda kwa miguu.
2. Kutokukemea dhambi, mimi ni mhudhuriaje mkubwa wa ibada kwa Mwamposa lakini skumbuk ni lini kakemea dhambi, ingawaje watu wanaenda pale wa kila aina, makahaba, malaya, wezi, mashoga n.k. Lakini mtumishi anadeal sana na kutoa baraka na upako pasipo kuhubiri amani,upendo,na maadili mema ukizingatia kuhusu jinamizi hili la ushoga, mtumishi ongelea ata hili tu kwa ufupi kanisa la mwamposa limekuwa kichaka cha watenda maovu, wanafurahia kutoongelewa. labda anahofia waumini kukimbia kanisa!?
3. Sadaka ni nyingi mmezipa majina mengi afu mnatoa baraka/upako kulingana na kipato cha mtu...yaan wewe mwenye elfu 5 unatofautishiwa baraka na yule mwenye kutoa elfu 50. Jambo hili linawafanya walio na kipato cha chini kujihisi wanyonge au kujihisi kupungukiwa na kitu..jambo hili binafsi linanikera na mnawapa adui zenu nafasi ya kupondea huduma hii.
4. Ukali(kufokewa).. mtumishi amekosa kauli ya kuwarekebisha watenda kazi wake pale wanapokosea amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwafokea mbele za watu na mbele ya kamera kama mtumishi unapaswa kuwa mtaratibu kukemea kwa hekima kwa kutambua wengine ni watu wazima wana familia zao...utasikia toa hyu apa wekeni mtu sahihi pale...walinzi,washika maiki, camera man, wanafanya kazi kwa hofu kubwa sanaaa..waondolee hofu wafanyakazi wako!
Ni hayo tu niliyobaini mimi..naomba yeyote mwenye uwezo wa kufikisha haya ayafikishe kwa namna yyte ilee.... lakini pamojaa na hayo nimepokea muujiza kupitia ibada yake mungu ambariki na ajirekebishe ili huduma iwe rafik kwa wengi! Ahsanten na samahani kwa uandishi mbovu.
Umetisha docta wa bushKwani kawalazimisha mwende huko?
Ni shida zenu na dhambi zenu zinawapeleka