Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Siku ukichomwa na mwiba halafu hakuna anayeweza kukutoa ndo utajua mwampsa ni mtumishi wa mungu au laa ma ukiwa unakula na kushiba huwezi jua njaa huwa inaumaje siku ukiwa na shida nzito na hakuna msaada wa kibinadamu utamkumbuka mwamposa
 
Kama wenye mchungaji wao wanaenjoy wewe inakusumbua nini?
 
Siku ukichomwa na mwiba halafu hakuna anayeweza kukutoa ndo utajua mwampsa ni mtumishi wa mungu au laa ma ukiwa unakula na kushiba huwezi jua njaa huwa inaumaje siku ukiwa na shida nzito na hakuna msaada wa kibinadamu utamkumbuka mwamposa
Huyo mwamposa ni Tapeli na ataendelea kuwatapeli wajinga kama ninyi msio jielewa.

Kwamba una amini kabisa mwiba unaweza kutolewa kwa maombi?

Huna tofauti na wale waumini wa kenya waliokufa msituni Shakahola wakifunga huku mchungaji wao "Mackenzie" akila na kunywa.

Huyo mwamposa wenu anajenga mahoteli kwa hela zenu ninyi wajinga msiojitambua.
 
Endelea kujiombea mwenyewe,sisi tutaendelea kwenda kuombewa na Apostle wetu Boniface Mwamposa a.k.a Bulldozer.
 
Endelea kujiombea mwenyewe,sisi tutaendelea kwenda kuombewa na Apostle wetu Boniface Mwamposa a.k.a Bulldozer.
Wewe huna tofauti na wale waumini wakenya wa mchungaji Mackenzie, walio ambiwa wafunge mpaka kufa kule Msituni Shakahola Kenya.

Mchungaji wao akabaki anakula na kunywa, Majinga yakafa kwa ujinga wao.

Ndio watu wa namna yako hii.
 
By the way Mwamposa hajawahi kutuambia tufunge mpaka kufa huo mfano wako ni irrelevant,mambo mengi mabaya yanayosemwa kuhusu Mwamposa ni usingiziaji,kunawengine hawajawahi hata kuhushuria ibada zake,lakini kazi yao ni kudakia kwenye mitandao ya kijamii,watu mnamzushia sana sababu ya wivu wa maendeleo jamaa amevuna waumini wengi sana toka makanisa mengine na huduma yake inasonga mbele Kila kukicha,nyie endeleeni kucheza na keyboard za simu.
 
Endelea kuliwa sadaka.
 
Wanaoenda kwa mwamposa ni misukule sasa sielewi hizo kero misukule zinawahusu vipi
Kweli kabisa ni misukule kama hao wanaotetea ugawaji wa bandari.
 
Endelea kuliwa sadaka.
Huwezi kumuabudu MUNGU bila kutoa sadaka,ibada bila sadaka hiyo inakuwa haijakamilika,tunakuwa wabahili hata kumtolea MUNGU,kumbuka maandiko yanasema "ubarikiwe mkono utoao kuliko unaopokea" .
 
Huwezi kumuabudu MUNGU bila kutoa sadaka,ibada bila sadaka hiyo inakuwa haijakamilika,tunakuwa wabahili hata kumtolea MUNGU,kumbuka maandiko yanasema "ubarikiwe mkono utoao kuliko unaopokea" .
Endelea kutapeliwa.

Mungu anaye hitaji sadaka ili akubariki ni tapeli.

Kama Mungu anaweza yote, Kwa nini ahitaji sadaka yako?

Ili imsaidie nini?
 
Huwezi kumuabudu MUNGU bila kutoa sadaka,ibada bila sadaka hiyo inakuwa haijakamilika,tunakuwa wabahili hata kumtolea MUNGU,kumbuka maandiko yanasema "ubarikiwe mkono utoao kuliko unaopokea" .
Ina maana Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Hajui shida na matatizo yako hadi utoe sadaka ndio afahamu shida zako na kujibu sala zako?

Kwamba, Mungu anahitaji sadaka ili ajibu sala za watu?
 
nilikutanaga na mtu kama wewe mwanzoni nilijua anatania kumbe yuko siriaz....any way...acha inyeshe tuone panapovuja....ila ushauri wangu chukua hii....(beba kabisa chakula maana safari tunayoenda uhakika wa chakula ni mdogo) ikitokea tumekuta chakula ni vyema, tutakuwa hatujapungukiwa kitu, sasa fikiria tusipobeba chakula na kule tukakosa chakula!?[emoji30][emoji30][emoji31][emoji37][emoji36]...
 
Asibadilishe tena afanye ibada kuwa siku mbili (masaa 48)
Na michango aifanye iwe 12 ili awanyooshe!
Kama huna ukauze nyumba umpelekee!
Wajinga ndio waliwao hawatakaa waishe huku duniani hadi kiyama
Tunaishi kwa kutegemeana ata wewe kuna sehemu ushawah kuhtaji msaada wa hao wajinga! afu hao hao wajinga sio ajabu wana amani ya moyoni kuliko hata wewe mjanja....mungu fundi bhanaaa we!
 
Dhambi ndio maisha yenyewe hazitakaa ziishe ata akikemea .
kula ndo maisha yenyew ata ukila vp huwezi kutosheka, jukumu lako ni kulisha tumbo tu mpaka mwisho wa maisha yako. It's sama kwa watumishi wa mungu jukumu lao ni kukemea mpaka mwisho wa maisha yao
 
mimi nimechunguza makanisa mengi sana nmeyafatilia kwa kina kila nikienda unaweza kuta wako sahihi kwa 80% lakini 20 wamekosa ko sjaona sehemu sahihi ko mimi now niko neutral, sina upande ata upande uliopo ww naweza nikakuchalenge pia
 
Mkuu hafiki kwenye buku, mwisho ni buku tano! kama unayo chini ya buku tano hupati hizo baraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…