Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Siku ukichomwa na mwiba halafu hakuna anayeweza kukutoa ndo utajua mwampsa ni mtumishi wa mungu au laa ma ukiwa unakula na kushiba huwezi jua njaa huwa inaumaje siku ukiwa na shida nzito na hakuna msaada wa kibinadamu utamkumbuka mwamposa
 
Kama wenye mchungaji wao wanaenjoy wewe inakusumbua nini?
 
Siku ukichomwa na mwiba halafu hakuna anayeweza kukutoa ndo utajua mwampsa ni mtumishi wa mungu au laa ma ukiwa unakula na kushiba huwezi jua njaa huwa inaumaje siku ukiwa na shida nzito na hakuna msaada wa kibinadamu utamkumbuka mwamposa
Huyo mwamposa ni Tapeli na ataendelea kuwatapeli wajinga kama ninyi msio jielewa.

Kwamba una amini kabisa mwiba unaweza kutolewa kwa maombi?

Huna tofauti na wale waumini wa kenya waliokufa msituni Shakahola wakifunga huku mchungaji wao "Mackenzie" akila na kunywa.

Huyo mwamposa wenu anajenga mahoteli kwa hela zenu ninyi wajinga msiojitambua.
 
Wajinga ndio waliwao.

Unaweza jiombea mwenyewe, Huitaji binadamu yeyote yule haijalishi ni mtakatifu kiasi gani, Akuombee. Hao ni matapeli wa kidini.

You can pray for yourself.You don't need any person no matter how holy he is, to pray for you.Pray for yourself, Religion is a scam.

When all people shall be wise in divine terms Those False prophets and Bogus religious preachers who feed on the ignorance of multitude will go hungry.
Endelea kujiombea mwenyewe,sisi tutaendelea kwenda kuombewa na Apostle wetu Boniface Mwamposa a.k.a Bulldozer.
 
Endelea kujiombea mwenyewe,sisi tutaendelea kwenda kuombewa na Apostle wetu Boniface Mwamposa a.k.a Bulldozer.
Wewe huna tofauti na wale waumini wakenya wa mchungaji Mackenzie, walio ambiwa wafunge mpaka kufa kule Msituni Shakahola Kenya.

Mchungaji wao akabaki anakula na kunywa, Majinga yakafa kwa ujinga wao.

Ndio watu wa namna yako hii.
 
By the way Mwamposa hajawahi kutuambia tufunge mpaka kufa huo mfano wako ni irrelevant,mambo mengi mabaya yanayosemwa kuhusu Mwamposa ni usingiziaji,kunawengine hawajawahi hata kuhushuria ibada zake,lakini kazi yao ni kudakia kwenye mitandao ya kijamii,watu mnamzushia sana sababu ya wivu wa maendeleo jamaa amevuna waumini wengi sana toka makanisa mengine na huduma yake inasonga mbele Kila kukicha,nyie endeleeni kucheza na keyboard za simu.
 
Endelea kuliwa sadaka.
 
Endelea kuliwa sadaka.
Huwezi kumuabudu MUNGU bila kutoa sadaka,ibada bila sadaka hiyo inakuwa haijakamilika,tunakuwa wabahili hata kumtolea MUNGU,kumbuka maandiko yanasema "ubarikiwe mkono utoao kuliko unaopokea" .
 
Huwezi kumuabudu MUNGU bila kutoa sadaka,ibada bila sadaka hiyo inakuwa haijakamilika,tunakuwa wabahili hata kumtolea MUNGU,kumbuka maandiko yanasema "ubarikiwe mkono utoao kuliko unaopokea" .
Endelea kutapeliwa.

Mungu anaye hitaji sadaka ili akubariki ni tapeli.

Kama Mungu anaweza yote, Kwa nini ahitaji sadaka yako?

Ili imsaidie nini?
 
Huwezi kumuabudu MUNGU bila kutoa sadaka,ibada bila sadaka hiyo inakuwa haijakamilika,tunakuwa wabahili hata kumtolea MUNGU,kumbuka maandiko yanasema "ubarikiwe mkono utoao kuliko unaopokea" .
Ina maana Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Hajui shida na matatizo yako hadi utoe sadaka ndio afahamu shida zako na kujibu sala zako?

Kwamba, Mungu anahitaji sadaka ili ajibu sala za watu?
 
Huyo ni mtumishi wa wanadamu au wa Mungu? Mungu pia anagawa kwa mafungu, mwenye nacho huzidishiwa.

Pambana kutafuta riziki, Mungu angekuwepo, tusingeishi kwa mafungu hivi.

Mungu anaruhusu wauza ngada, wapiga rushwa, majambazi, matapeli kupata riziki. Lakini wapiga kazi halali kila siku wanaangukia pua. ndo mungu huyo.

Wanadamu, hakuna mungu duniani wala mbinguni. Pambana kutafuta maisha kwa muda uliobahatika kuishi. Kama mungu angekuwepo wale wanaoeneza ushoga wakitumia mkwanja asingewapa huo mkwanja.

Mungu mungu!! Hayupo, ni dhana tu.
nilikutanaga na mtu kama wewe mwanzoni nilijua anatania kumbe yuko siriaz....any way...acha inyeshe tuone panapovuja....ila ushauri wangu chukua hii....(beba kabisa chakula maana safari tunayoenda uhakika wa chakula ni mdogo) ikitokea tumekuta chakula ni vyema, tutakuwa hatujapungukiwa kitu, sasa fikiria tusipobeba chakula na kule tukakosa chakula!?[emoji30][emoji30][emoji31][emoji37][emoji36]...
 
Asibadilishe tena afanye ibada kuwa siku mbili (masaa 48)
Na michango aifanye iwe 12 ili awanyooshe!
Kama huna ukauze nyumba umpelekee!
Wajinga ndio waliwao hawatakaa waishe huku duniani hadi kiyama
Tunaishi kwa kutegemeana ata wewe kuna sehemu ushawah kuhtaji msaada wa hao wajinga! afu hao hao wajinga sio ajabu wana amani ya moyoni kuliko hata wewe mjanja....mungu fundi bhanaaa we!
 
Dhambi ndio maisha yenyewe hazitakaa ziishe ata akikemea .
kula ndo maisha yenyew ata ukila vp huwezi kutosheka, jukumu lako ni kulisha tumbo tu mpaka mwisho wa maisha yako. It's sama kwa watumishi wa mungu jukumu lao ni kukemea mpaka mwisho wa maisha yao
 
Kiongozi kama uko Makini na mambo ya Rohoni usingekubali kunasa na kuendelea na kulishwa matango pori, ungechukua maamuzi ya kutafuta kanisa lenye nguvu za kweli na neno lisiloghoshiwa, kukaa hapo huku ukisikiliza Saul alarm ni kumchosha Roho wa Mungu pia utakua kiroho ktk speed stahiki maana kama ktk kila ibada yako mambo soul alarm inagongaa, ni shida kuanza kutafuta ukweli. Nakushauri tafakari na chukua maamuzi... Maana sisi wengine umepita huko na kujikuta wafu wa roho, tumepoteza pesa, kazi na amani... Kila la kheri[emoji120]
mimi nimechunguza makanisa mengi sana nmeyafatilia kwa kina kila nikienda unaweza kuta wako sahihi kwa 80% lakini 20 wamekosa ko sjaona sehemu sahihi ko mimi now niko neutral, sina upande ata upande uliopo ww naweza nikakuchalenge pia
 
Hapo #3, hii kitu aliniambia mdogo wangu. Alifunga safari kutoka Mkoani mpaka Dar kupata huduma., muda wa sadaka akaanza kuita wenye...elfu50 waje mbele watoe...sijui 40...akashuka mpaka buku buku. Mdogo wangu amerudi yupo very disappointed. KiVyovyote vile, ni kitu kinachoshangaza mtumishi kuombea watu kulingana na kiwango cha sadaka wanachotoa.
Mkuu hafiki kwenye buku, mwisho ni buku tano! kama unayo chini ya buku tano hupati hizo baraka
 
Back
Top Bottom