Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla



Hakuna baraka bila ungamo la dhambi, dhambi ni laana, hamuoni tunadanganywa? Wewe na wote (kwenye bin)
 
Umeshauri mambo ya msingi sana ,

Naamini umesukumwa na Pendo la Kristo kufanya hivyo,

Naamini ni kwa wema tu,

Akitaka tia kazi hayo itakuwa vizuri sana huduma hiyo.
 
Nyongeza:

5. Aingeze viti Na mahema watu wasipigwe na jua wala mvua hasa wa ibada ya pili.


6. Huduma ya vyoo sio ya kuridhisha.
 
Umeshauri mambo ya msingi sana ,

Naamini umesukumwa na Pendo la Kristo kufanya hivyo,

Naamini ni kwa wema tu,

Akitaka tia kazi hayo itakuwa vizuri sana huduma hiyo.
mwamposa ni mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo
 
Kwa kifupi wanavutia kwao,kanisa Lina shule ya watoto last Sunday,baada ya ibada tukaambiwa tusiondoke twende tukaangalie maendeleo ya shule ili Basi tuombee pale tutakapoguswa,tunafika tunaanza kuobwa michango ya ujenzi jumla wamepiga hesabu million 60,hapo bado Kuna zahanati ya kanisa,still wanataka kujenga kanisa lawatu 3000,so in real sense kuhitaji watu wengi kiasi hicho ni maokoto tu,ifike hatua tusaidie mayatima tu Hawa pesa wanazopata na familia zao inatosha
 


I like him, a very good business Man, anakemea na kuzalilisha wafanyakazi wake, ila hakemei dhambi,

Kabla ya baraka na kila kitu Yesu came kukomboa roho toka dhambini, that ia His no 1 Business.

Na akishaokoa roho, then everything follows baraka, amani furaha kama utakuwa mtii.

Sasa hilo kundi la watenda dhambi kama unavyosema linapata wapi baraka?


very good business Man, endeleeni kuibiwa.
 
Kuhusu kuepuka kumaliza ibada usiku ile ya pili,

Hapa ni rahisi tu,

Anaweza kuwahi kuanza na kumaliza ile ya kwanza ,
Kisha kuwahi na kuanza ya pili mapema ili ikifika saa 12 jioni kamili watu wana elekea majumbani mwao ,

Wake za watu wakapikie waume zao mapema.

Apunguze muda wa shuhuda n.k.
 
na wewe unaendaga kwa mwamposa ?
 
na wewe unaendaga kwa mwamposa ?
Sijawahi kwenda kiongoz,Kuna kipindi alikuja pande zetu jirani yangu bhana akachota mchanga kwenye duka lake akapeleka nikamwangaliaa nikasema huu si ulozi kabisa😄
 
Huyo ni tapeli Mwamposa kama matapeli wengine uwajuao.
 
Sijawahi kwenda kiongoz,Kuna kipindi alikuja pande zetu jirani yangu bhana akachota mchanga kwenye duka lake akapeleka nikamwangaliaa nikasema huu si ulozi kabisa😄
waganga wa kienyeji wanajiteteaga kuwa wao hawana ushirika na shetani na watu wakaamini.
sasa shetani kaleta waganga makanisani na hakuna kupiga lamli ni kumwagia mafuta tu au kubandika mikoni.

Shetani ana mbinu sana
 
Mwamposa naye ni mtumishi wa Mungu?, au mtumishi wa mungu? Hilo siyo kanisa ndugu ni kijiwe cha kupigia pesa, fungua ma ho umtafute Mungu wa kweli alipo.
 
tatizo waumini hawapo Teyar kuacha dhambi ,hata hivyo tunahtaji kujitahd kuish maisha ya haki na uadilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…