kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Home Alone umenikumbusha Salva Rweyemamu jirani na kwa akina Zulfa 😂😂😂Na makonda nlimfahamu kitambo alikuwaanakuja sana hPo home alone...
Ova
Mwanzo alitumika na Samia uzinduzi wa Hamonizer, eti anasema alienda kwa sababu ya Samia. Nikaona huyu ni bwegeAna watu wengi lazima wamtumie, na kwenye uchaguzi watamtumia sana huyu
Thibitisha utapeli wake 🐼Nimemdharau sana Mwamposa. Kumbe naye ni tapeli kama Pengo tu
Naunga mkono hoja, Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la PembeniNabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media
Huko mbali atakapofika ni moja kati ya hivi; au kianze kifo au kufungwa jela.Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media
Mwamposa na Makonda wote ni watumishi wa shetani ila vitengo tofauti.Well basi awe makini, history shows kuna bad blood between politics na huduma. At one time itabidi afanye maamuzi na kuamua which side he wants, else itayeyuka
Wewe ni Mtumishi wa nani?Mwamposa na Makonda wote ni watumishi wa shetani ila vitengo tofauti.
Ule uzinduzi wa ile albam alienda??Mwanzo alitumika na Samia uzinduzi wa Hamonizer, eti anasema alienda kwa sababu ya Samia. Nikaona huyu ni bwege
Una mengi sana mkuu, Fanya namna ama njia sawia kwako hizo mambo zifahamike kwa umma kwakweli.Nimekumbuka Chatu alommeza Ben saa nane
Britanicca
Mimi ni muumini tu wa Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume.Wewe ni Mtumishi wa nani?
Waambie ukweli!Nimekumbuka Chatu alommeza Ben saa nane
Britanicca
Hatari Sana, majambazi, yamekutana,Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media
Mwamposa anapotoka Sasa! Makonda ni suspect wa FBI na CIA in Mike Pompeo. Former Foreign Secretary of US' voice!Mwamposa anatufanya sisi kuwa wajinga. Unyama huu ndiyo Mwamposa anauita kipaji cha uongozi?
Anajifanya hajui! Eti mtume?Mtumishi jiepushe na huyu mtu, ana uja damu! Kama watumishi wa Mungu alitakiwa mnieleze maovu yake? Kuna wazazi hadi leo wanalia kwa kupotelewa na watoto wao!