Mwamposa: Nimemfahamu Paul Makonda tangu akiwa Chuoni, ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu na atafika mbali!

Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu

Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi

Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana

Source Clouds media
Naunga mkono hoja, Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
P
 
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu

Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi

Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana

Source Clouds media
Huko mbali atakapofika ni moja kati ya hivi; au kianze kifo au kufungwa jela.

Endeleeni kumtukuza mhalifu lakini hatoweza kukwepa kikombe cha jela
 
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu

Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi

Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana

Source Clouds media
Hatari Sana, majambazi, yamekutana,
HIV swali la kizushi, Chupa ngapi za, maji, na mafuta ya upako, Makonda kanunua kutoka kwa "MTU wa, Mungu" Mwamposa?
Waumini wa Mwamposa, wekeni picha ya mtoto na mke wa makonda wakiwa kanisani kwa mwamposa kupokea upako!?
 
Hivi hamna namna dini na siasa vikatengana?
Maana unaweza ukawa unasimamisha imani yako kwa Mungu kupitia kiongozi wako wa kidini , kesho unakuta yupo kwenye jukwaa la waliopotoka na kusifia kupotoka kwao!
 
Huyo mwamposa mimi namjua toka nzovwe...kabla hajaenda kuchukua tungu..i, nyumba ya wazazi wake ipo karibia na baa moja ya mjomba moja anaitwa Gerad....huyo jamaa pia anachoma kitimoto mbeya. Na abishe tuone.
 
Back
Top Bottom