Mwamposa: Nimemfahamu Paul Makonda tangu akiwa Chuoni, ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu na atafika mbali!

Vipi kichwa kilitanulka kiasi gani
 
Hayo ni maoni ya mwamposa. Watanzania wanayo Mengi ya kusema lakini hawajapata jukwaa la kuyasema.
 
Kwahiyo tumsikilize Mwamposa au Askofu Mkuu Dr Gwajima.
 
Sema kazi yako...
 
 
Nilikuwa namwamini makonda
Ila sasa simwamini
 
Uuaji kumbe ni kipaji ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…