Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
MuccobsHivi alisoma chuo Gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MuccobsHivi alisoma chuo Gani?
Vipi kichwa kilitanulka kiasi ganiNabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Mzee wangu yule siku moja moja tunakuwa kwenye kijiwe chetu bonga pale,mzee wangu kitambo sanaHome Alone umenikumbusha Salva Rweyemamu jirani na kwa akina Zulfa 😂😂😂
Kitambo sana
Yule mume wa diwani mama koku....Mzee wangu yule siku moja moja tunakuwa kwenye kijiwe chetu bonga pale,mzee wangu kitambo sana
Ova
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!Nimekumbuka Chatu alommeza Ben saa nane
Britanicca
Mwamposa anajijua kuwa naye ni mhalifu kama Makonda ndiyo maana anajiegemeza huko apate kinga.Mwamposa anajiingiza mzima mzima kwenye siasa au anaingizwa kijanja??
Bila shaka hamna wa kumgusa huyo mwamba kwa sasa.
Janja janja tuMwamposa kapita chuo gani zaidi ya cha Biblia?
Kwahiyo tumsikilize Mwamposa au Askofu Mkuu Dr Gwajima.Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media
Kuuzia watu michanga kuwaongope udongo toka IsraelThibitisha utapeli wake 🐼
Sema kazi yako...Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media
Anamwamini Mungu atubu nakusem kzi yake.Mwamposa anatufanya sisi kuwa wajinga. Unyama huu ndiyo Mwamposa anauita kipaji cha uongozi?
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media
Aisee njaa mbaya sana? Mwamposa sio yesu wala Yohana ni fisadiNimekumbuka Chatu alommeza Ben saa nane
Britanicca
Uuaji kumbe ni kipaji ?Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media
TAPELI anamsifia Muuaji kweli mbinguni kutakuwa na taflaniMwamposa kapita chuo gani zaidi ya cha Biblia?