Mwamposa: Nimemfahamu Paul Makonda tangu akiwa Chuoni, ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu na atafika mbali!

Haya majina ya akina Mwamposa ni chenga sana refer yule wa Kwa Bunji
 
Matapeli yanajuana. Yote ni matapeli, moja limejificha kwenye kichaka cha siasa na jingine kwenye kichaka cha dini. Kuna siku Mungu atawambua.
 
Nyakati zile Makonda haonekani alijichimbia wapi? Labda huenda Mwamposa unajua alikuwa wapi. Au alikuwa anapikwa kisiasa?
 
Hii nchi vituko na uhuni haviishi laah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…