MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Number 13,,ndio inasema wafe wakati mungu anasema tusamehane.alafu yule mama anasema miaka 3 gesi sushi ktk mtungi wake baada kupokea neno huko
Imeandikwa usimwache mwanamke mchawi aishi, Ni Mungu kasema sio Mwamposa
 
Nakuja lazima
 
Mwamba ni bilionea, na hiyo pesa atapiga hiyo siku ni balaa. Wakati wake acha azikusanye
 
Utapeli tu
 
Mimi na majirani zangu tutakuwepo hapo na picha za majumba ya ghorofa
 
Anzisheni timu ya Mpira mchukue kombe la dunia basi kama ndo hivyo.
 
Kati ya matapeli wa kuzimu ambao siwaamini hapa chini ya jua ni MWAMPOSA na GODAVIE
 
Am coming soon
 
Interesting. Bila shaka utapewa pia na upako wa bima, service na petroli ya hiyo kitu. Uzuri kubadili part yoyote ni zaidi ya miaka 10 (bila ajali).

Kawaida wenye kumiliki hiyo kitu toka brand new huwa wanauza au kuigawa mara baada ya warranty kuisha. Wanunuzi wa second hand ndio husumbuka na mafundi gereji na vishoka huku kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…