CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #101
Acha udini wewe jana umekataa Ezekiel asije Leo unamwita Mwamposa Mganga 😃😃😃Unawaalika watu waende Kwa mganga mvaa suti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha udini wewe jana umekataa Ezekiel asije Leo unamwita Mwamposa Mganga 😃😃😃Unawaalika watu waende Kwa mganga mvaa suti?
Imeandikwa usimwache mwanamke mchawi aishi, Ni Mungu kasema sio MwamposaNumber 13,,ndio inasema wafe wakati mungu anasema tusamehane.alafu yule mama anasema miaka 3 gesi sushi ktk mtungi wake baada kupokea neno huko
Kila kitu Mungu atafanya kwa imani tuNgoja nilete jina la binti Maringo wangu, hahaha
UTAPELIView attachment 3029552
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Nakuja lazimaView attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Fanya haya yafuatayo;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Ndio mnavyodanganyana mkuu?Ukiota hiyo ndoto jua unatumiwa na wachawi njoo pia
Ukienda nayo hiyo hatumalizi giza mbili tupo nchini 😂😂Naenda na picha ya mkenya😂
Utapeli tuView attachment 3029552

Mimi na majirani zangu tutakuwepo hapo na picha za majumba ya ghorofaView attachment 3029552

Acha kujisumbua utakwama tuUtapeli tu
Anzisheni timu ya Mpira mchukue kombe la dunia basi kama ndo hivyo.View attachment 3029552

Je vitendo kwenye injili ya uongo ? Ni zaidi ya shetaniInjili ya kweli bila vitendo hakuna tofauti na mganga wa kienyeji
Kati ya matapeli wa kuzimu ambao siwaamini hapa chini ya jua ni MWAMPOSA na GODAVIEView attachment 3029552
Team Jf,
Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.
Fanya haya yafuatayo;-
1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.
2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.
3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.
4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.
5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.
6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,
7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,
8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,
9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.
9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.
10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.
11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc
12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe
13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.
14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.
15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.
16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.
17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.
Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen
#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Ipo siku utawatafuta kwa kilioKati ya matapeli wa kuzimu ambao siwaamini hapa chini ya jua ni MWAMPOSA na GODAVIE
Am coming soonView attachment 3029552

Eeh 🤣🤣🤣Ukienda nayo hiyo hatumalizi giza mbili tupo nchini 😂😂
Interesting. Bila shaka utapewa pia na upako wa bima, service na petroli ya hiyo kitu. Uzuri kubadili part yoyote ni zaidi ya miaka 10 (bila ajali).