MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Injili ya kweli bila vitendo hakuna tofauti na mganga wa kienyeji
Utamaduni wa kubeba udongo, kunawa/kukanyaga mafuta, kubeba/kupeleka jina tulizoea kuuona kwa waganga wa kienyeji, siku hizi naona ni kanisani
 
Bila shaka Watu watabubujikwa sana machozi ya furaha kwa kupata majibu ya maswali yao katika maisha yao yaliyoandamwa na changamoto mbalimbali.Nawasihi watu wanende wakakutane na mkono hodari wa Mungu wa Ibrahim ,ISaka na Yakobo.
Bila kusahau Mungu wa Yuda eskaliot
 
Utamaduni wa kubeba udongo, kunawa/kukanyaga mafuta, kubeba/kupeleka jina tulizoea kuuona kwa waganga wa kienyeji, siku hizi naona ni kanisani
Unajua wanganga huwa Wana -copy vitu vya Nuru wanavifanya kwa aina ya Giza,
 
Naona mda wa kutolewa makafara umewadia,hata ukisukumwa jitahidi usiende chini maana ukienda tu chini ndio habari yako imekwisha
 
Have never seen this kind of bullshit in my life. Anyways wajinga ndio waliwao.
 
View attachment 3029552

Team Jf,

Nitumie jukwaa hili kuwaalika kwenye mkesha mkubwa ambao hautausahau na Jamii yako kwenye maisha yenu kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya Arise & Shine Kawe Tanzania.

Fanya haya yafuatayo;-

1. Kama unaumwa ugonjwa wowote ule hata kama madaktari Wamesema huponi au ndugu yako anaumwa njoo na picha yake au njoo uandike jina lake utanishukuru.

2. Kama timu yako ya Mpira au wewe mwenyewe hauna bahati ya Magori kama Kibu Denis wa Simba njooni Ijumaa tukeshe Kawe.

3. Kama wewe ni bondia na unapigwa Kila shindano njoo na gloves zako tukeshe.

4. Kama wewe ni mwanafunzi na unafeli Kila mtihani njoo wewe au mzazi wako tukeshe na matokeo yako.

5. Kama ndoa au uchumba unazingua njoo tukeshe utanishukuru.

6. Kama huelewi elewi tu mambo yanayojupa au kutokea njoo tukeshe,

7. Kama unajenga nyumba haumalizi njoo na udongo wa hilo eneo tukeshe,

8. Kama unafanya Biashara na hupati wateja njoo na udongo wa eneo lako la biashara,

9. Kama unaboda na hupati wateja njoo na kadi ya pikipiki au funguo tukeshe.

9. Kama huna kazi au umefukuzwa kazi njoo na jina la mwajiri na nyaraka kama chetu au yoyote tukeshe.

10. Kama unataka kwenda nje ya nchi njoo na jina la hiyo nchi.

11. Kama unataka kuwa tajiri njoo uandike level ya utajiri unayotaka kama ni milionea, bilionea etc

12. Kama unataka kibali kwenye sanaa njoo tukeshe

13. Kama unataka waliokuloga wafe wote njoo tukeshe.

14. Kama unataka urudishiwe ulivyopoteza njoo na majina ya hivyo vitu.

15. Kama unataka kwenda Mbinguni ukiwa unatabasamu njoo tukeshe na Mtume Boniface Bulldozer Mwamposa.

16. Nakama unajambo lolote ambalo sijalitaja hapa Mungu atalifanya chini ya Mtumishi wake Mwamini Mwamposa.

17. Kama huamini pia njoo ufanye ku-test tu kama ni kweli utanishukuru Mimi kukupa hii taarifa.

Ni mimi na ni mimi tu kuwaleteeni taarifa hii ya Ukombozi wenu na watoto wenu na watoto wa watoto wenu na Mimi basi nitendewe kama alivyonena Mtumishi wa Mungu kuhusu kupeleka habari hii ya Ukombozi -Amen

#Nawewe sambaza taarifa hii kwa watu 12 utaona matokeo hata kabla ya mkesha huu.
Number 13,,ndio inasema wafe wakati mungu anasema tusamehane.alafu yule mama anasema miaka 3 gesi sushi ktk mtungi wake baada kupokea neno huko

Amina
 
Back
Top Bottom