Askari Mnoko
Senior Member
- Oct 5, 2019
- 148
- 101
Wewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasi
Kwenye hakukuwa na penati kwasababu kwenye marudio hauoni mchezaji akishika mpira. Lakini sisi tumeweza kulijua hilo kwasababu tunaweza kujiridhisha kupitia replay za Azam tv tofauti na waamuzi wakuwapo uwanjaniMaelezo ya kweny penart ndo ntakujua kuwa upo upande gan
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanatamba wana timu nzuri ila Wananunua marefa
Kwenye penart alieshka ni Mayele,heb angalia vzur highlight mkuuRed card imetolewa kwa sheria kwamba mchezaji wa mwisho ukimkata ni straight red, penalty jamaa alishika au labda kama sheria mpya zinaruhusu beki kushika, c unajua Corona imeathiri ufanisi wa miguu.
[emoji1756][emoji1756][emoji1787][emoji1787]Kitita cha GSM
Hiv uzur wa Yanga uko wap ?? Ina record gn kimataifa Kama kwel ni tim nzur?? Kubebwabebwa kunawapumbaza Sana ndo maana kimataifa mnapgwa mbele na nyumaKila timu itakayocheza na Yanga msimu huu lazima iseme imeonewa mana Yanga inakulazimisha kufanya makosa, ni kama Barca ya Pep ilikuwa inaonekana inabebwa kila mechi kumbe kiwango kilikuwa kikubwa mno. Pasi 20 wapinzani hawajagusa mpira si mchezo mzee, nasema hakuna timu hapa East Africa imewahi kupiga mpira kama Yanga ya sasa nasisitiza HAKUNA.
Umeongea kwa uchungu sn, ila haitabadili ukweli kwamba Yanga ndio timu bora kwa sasa Afrika mashariki na kati.Hiv uzur wa Yanga uko wap ?? Ina record gn kimataifa Kama kwel ni tim nzur?? Kubebwabebwa kunawapumbaza Sana ndo maana kimataifa mnapgwa mbele na nyuma
Nmekupata,ingawa unaogopa kueleza ukweli zaidKwenye hakukuwa na penati kwasababu kwenye marudio hauoni mchezaji akishika mpira. Lakini sisi tumeweza kulijua hilo kwasababu tunaweza kujiridhisha kupitia replay za Azam tv tofauti na waamuzi wakuwapo uwanjani
Kwahiyo beki kumzuia fowadi kwa kumvuta ili asifunge ni sawa.Kwenye penart alieshka ni Mayele,heb angalia vzur highlight mkuu
....wala usimjibu huyo, hajui sheria inasemaje kwa mchezaji anayemwamgusha mwenzie na akiwa wa mwisho..Wewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasi
Kuona ni kuamini mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kinachowafurahisha yanga na waone wako vizuri ni matokeo wanayopata tena kwa mbinu nyingi za ndani na nje ya uwanja ila kiuchezaji hakuna kitu na wataanza kuona hili wakianza kutoa draw mfululizo na vipigo
Hujaona jibu? Alafu mkuu kweli kabisa ulitegemea Ruvu iliyo nusu uwanjani imfunge au isuruhu na Yanga timu iliyowafunga nyinyi kiulaini tena mkiwa 11 uwanjani?Hujajibu swali nililouliza???
Na nyinyi kesho mnunueWanatamba wana timu nzuri ila Wananunua marefa
Ukweli zaidi ni upi? Hao wazungu pamoja ya kuwa bright na wao ndio watungaji wa sheria lakini wameweka V A R kwasababu huwezi kuonana kila kitu kwa ufasaha uwanjani. Refarii ni binadamu. Na timu yoyote inaweza kuwa favoured na mamuzi ya refarii. Ila upande wa kadi nyekundu yule mchezaji alikuwa ni mtu wa mwisho je kwanini wewe unasema alistahili njano?Nmekupata,ingawa unaogopa kueleza ukweli zaid