Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

Katoa red cad kimakosa harafu pia katoa penart kimakosa
Watalam wa soka karibun kwa maon yenu,ushabik tuuweke pemben
Tunachojua sisi tumeshinda hayo mengine kajadili na mkeo chumbani.
 
Inaonekana iyo bangi wewe unaivutia chooni ndo maana nyeusi unaona nyeupe na nyeupe unaona nyeusi,,,wapumbavu Kama wewe ndo wanarudisha nyuma soka la hii nchi, kama ujui kitu ni bora ukae kimya sio kuropoka usichokijua,
Kubishana na mwehu Kama wew ni Kaz Sana, nlizan Makonda alimalza wavuta bang kumbe bado mpo??
 
Sawa mkuu ila pole mana najua maumivu mnayopitia kwa ss.
Awapi wala siumii na wala sishangazwi ila nashangazwa na wanaoshangazwa na watu wanaoshangazwa na maamuzi ya kocha kwenye mechi ya leo

wamesahau kua vitimbwi vya marefa kwenye mechi za yanga ni kawaida

Mkuu hivi kile kipindi cha goal kona ulikua bado unashabikia yanga?
 
Hawa mbwa hawajawahi kubeba ubingwa kihalali ndio maana kimataifa huwa wanatoka mzunguko wa kwanza tu sababu kule hakuna janja janja.

Ila Simba SC ikichukua ubingwa tarajia haya .
1.kufanya vizuri kimataifa.
2. Taifa stars kuwa bora.

UTO wakiwa mabingwa tarajia haya.

1.Kutolewa hatua za awali kimataifa.
2.Taifa stars kugongwa saba.
 
Ok msimu huu naona makolo tayari wameshachukua ubingwa wa Africa
 
Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Simba mwaka huu mtakuwa marefa na wachambuzi.
Ni suala LA muda tu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo ya kweny penart ndo ntakujua kuwa upo upande gan

Acha ushenz,kamtukane mama yako,sjaanzisha Uzi ili tutukanane,haraf sjakaribisha mvuta bang Kama wew
Acha ujinga dogo mamake unamtaja hapa unamjua...
 
Awapi wala siumii na wala sishangazwi ila nashangazwa na wanaoshangazwa na watu wanaoshangazwa na maamuzi ya kocha kwenye mechi ya leo

wamesahau kua vitimbwi vya marefa kwenye mechi za yanga ni kawaida

Mkuu hivi kile kipindi cha goal kona ulikua bado unashabikia yanga?
Naamini hata wewe ulijua kama ile sio penalty baada ya reply kadhaa,Ila mkuu kumbuka kua referee Hana reply wala misaada wa VAR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mbwa hawajawahi kubeba ubingwa kihalali ndio maana kimataifa huwa wanatoka mzunguko wa kwanza tu sababu kule hakuna janja janja.

Ila Simba SC ikichukua ubingwa tarajia haya .
1.kufanya vizuri kimataifa.
2. Taifa stars kuwa bora.

UTO wakiwa mabingwa tarajia haya.

1.Kutolewa hatua za awali kimataifa.
2.Taifa stars kugongwa saba.
Kufanya vizuri ni kukoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoa red cad kimakosa halafu pia katoa penalty kimakosa.

Wataalamu wa soka karibuni kwa maoni yenu, ushabiki tuuweke pembeni
Kama Mchezaji (sio kipa) akicheza mpira kwa mkono eneo la goli adhabu yake nini?
 
Kila timu itakayocheza na Yanga msimu huu lazima iseme imeonewa mana Yanga inakulazimisha kufanya makosa, ni kama Barca ya Pep ilikuwa inaonekana inabebwa kila mechi kumbe kiwango kilikuwa kikubwa mno. Pasi 20 wapinzani hawajagusa mpira si mchezo mzee, nasema hakuna timu hapa East Africa imewahi kupiga mpira kama Yanga ya sasa nasisitiza HAKUNA.
Sasa inatakiwa ivuke mipaka, maana hata Sudani Kusini ni East Africa
 
Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Sio kweli bro mlinzi anapofanya faulo kwa mchezaji anayeelekea kufunga na mlinzi huyo anapokuwa ni last defender hiyo ni red card

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Katoa red cad kimakosa halafu pia katoa penalty kimakosa.

Wataalamu wa soka karibuni kwa maoni yenu, ushabiki tuuweke pembeni
Kuhusu red card, refa alikuwa sahihi kwa 100%. Beki wa mwisho wa ruvu alimcheza faulo mshambuliaji wa Yanga aliyekuwa anaelekea kufunga. Kwa sheria za Fifa pale mtu anapewa kadi nyekundu moja kwa moja, hakuna mjadala.

Kuhusu penati, ni kweli beki wa Ruvu hakuushika mpira lakini beki huyo huyo alimshika mshambuliaji wa Yanga wakati akiwa anataka kupiga tikitaka ya kufunga ndani ya box. Kosa la mwamuzi litakuwa ikiwa aliamuru kutoa penati kwa kigezo cha mpira kushikwa badala ya kutoa penati kwa mchezaji wa yanga kushikwa. Hivyo kwa vyovyote vile bado ile ingebakia kuwa ni penati tu.
 
Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Makolo mtateseka sana mwaka huu.....ile penati siyo sababu ya kushika mpira we nungunungu
 
Back
Top Bottom