Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

Wanatamba wana timu nzuri ila Wananunua marefa
Yaani redi kadi moja na penati moja mmeumia kiasi hiki, mmesahau timu ya simba imepata penati mbili, na mechi tatu wamecheza na timu zilizopewa kadi nyekundu. Nyie kwenu ishakuwa fasheni
 
Ulaya Marefa wanakosea sembuse mbogooo ndyo maana wakaleta VAR ruvu kushambuliwa sanaaaa kumewacost maamuzi ya refa yamewabeba Yanga timu ikiwa nzuri ngum sana mpinzan kuwazuia
 
Huyu mwamuzii aliinyima simba penat 2 dikson job alishika mpira ndan ya box na mwamuz alkua eneo la tukio ila alikaushaa morrison alivutwa jearsy na kaseke ndan ya box ila refaa km hakuonaa n kwelii var n advanced system lakn wenzet marefa wao hawafany makosa ya kibinadam ya mara kwa maraa .... Sisi tunajua huyu mwandembwa akichezesha game za yanga lazm wa shinde kwa namna yyte ilee
 
Sasa we ulitaka refa afanyeje? ungemlipia madeni yake?

Sema hapa CAF imulike tochi yake TFF kwasababu wao ndio wanafuga ubovu kwa kuwapanga marefa ambao wamekata ringi wachezeshe mechi
Yani nilikuwa zangu mishe narudi nakuta bi mkubwa anaangalia hiyo mechi na ni mshabiki wa Yanga ila akaniambia "huyu kocha anatupendelea nawaonea huruma hawa Ruvu" nikamwambia "sio kocha ni refa".


Nikajisemea tu kama bi mkubwa kaona kuna upendeleo na sio mfuatiliaji sana basi itakuwa kuna walakini. Kumbe sio yeye tu alieona bana.
 
Hiv uzur wa Yanga uko wap ?? Ina record gn kimataifa Kama kwel ni tim nzur?? Kubebwabebwa kunawapumbaza Sana ndo maana kimataifa mnapgwa mbele na nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani Nyie Ubora Wenu Uko Wapi Kwanza?? Na Mna Rekodi Gani Za Maana Nyie???? Au Ndo Iyo Kuishia Robo Fainali Msimu Wa Corona Kombe La Africa??, Mfunge Namungo Kwanza Apo Kesho.
 
Hehehehehee kuona ni kuamini, Yanga hii inapiga mpira ambao haujawahi kuonekana Tanzania na Afrika Mashariki na kati, inavutia kuitazama, kuna mda wanashambulia wote mpaka mabeki, anabaki kipa tu nyuma nawaonea huruma Simba kwa uoga mlionao dhidi ya Yanga, tukikutana tutawadhalilisha sn, ona hapa chini timu nzima ilienda kushambulia, ss kwnn timu pinzani isifanye makosa [emoji116][emoji116]
 
Kwenye ile penalty aliyewapa lile goli la pili ET kasema sonso ameshika Wiz mtupu mpira haukumgusa sonso mwamuz ameingia na matokeo yake
Bas tumelifuta goli moja la penat yabaki mawili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani Nyie Ubora Wenu Uko Wapi Kwanza?? Na Mna Rekodi Gani Za Maana Nyie???? Au Ndo Iyo Kuishia Robo Fainali Msimu Wa Corona Kombe La Africa??, Mfunge Namungo Kwanza Apo Kesho.
Sis tunacheza na kupata matokeo kihalali na ndo maana hata kimataifa tunafany vzur lakn nyie mnaopendelewa hapa mkienda kimataifa mnatuaibsha tu,maana kule hawapendelei
 
Kanye mavi ww ukalale.. Yanga mwaka huu mpira upon na tunaupiga mwingi.. Bac tufanye goli la penati tunawapa nyie Makolo..
Mtateseka sana mwaka huu.. Hili kombe si la mama enu kana kwamba kila mwaka mchukuwe nyinyi tu.. Tunaanza mwaka huu na inabid msubir ndani ya miaka 5 ndo tunaweza kuwaachia
 
Sis tunacheza na kupata matokeo kihalali na ndo maana hata kimataifa tunafany vzur lakn nyie mnaopendelewa hapa mkienda kimataifa mnatuaibsha tu,maana kule hawapendelei
Unaposema mnafanya vzr kimataifa unamaanisha nini? Kwamba Yanga haijawahi kufika robo fainali klabu bingwa au? Tena kwa taarifa yako Yanga ndio ya kwanza Tz kufika robo fainali tena kipindi hicho dunia hakuna magonjwa ya ajabu ajabu tofauti na nyinyi mliobebwa na corona msimu uliopita.
 
Wachezaji kuwa wengi kwenye goli la timu pinzani sio kipimo cha kuonesha uhalali wa ushindi. Mnaweza mkawa wengi mkatengeneza umoja wa kikoba ambao hauna impact

Na ndio maana kuna msemo unasema panya wengi hawachimbi shimo, na hapo ndipo ilihitajika nguvu ya ziada kutoka kwa mchezaji wenu aliyevalia sare za refa
 
Kwa hyo nyiny Corona ndo imewadidimiza mpaka mkaanza kuhonga waamzi ???
 
Yanga itakuumiza sn msimu huu, nikushauri acha kuangalia mechi za Yanga.
 
Maelezo ya kweny penart ndo ntakujua kuwa upo upande gan

Acha ushenz,kamtukane mama yako,sjaanzisha Uzi ili tutukanane,haraf sjakaribisha mvuta bang Kama wew
Inaonekana iyo bangi wewe unaivutia chooni ndo maana nyeusi unaona nyeupe na nyeupe unaona nyeusi,,,wapumbavu Kama wewe ndo wanarudisha nyuma soka la hii nchi, kama ujui kitu ni bora ukae kimya sio kuropoka usichokijua,
 
Kwa hyo nyiny Corona ndo imewadidimiza mpaka mkaanza kuhonga waamzi ???
Kuona ni kuamini mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Red card Yes,no doubt!
Penalty- No
 
Sis tunacheza na kupata matokeo kihalali na ndo maana hata kimataifa tunafany vzur lakn nyie mnaopendelewa hapa mkienda kimataifa mnatuaibsha tu,maana kule hawapendelei
Ahaaa Si Mpo Kombe La Shirikisho Sasa, Aya Ngoja Tusubiri Nyie Msiopendelewa Jinsi Mtakavyopata Hayo Matokeo Yenu Ya Kihalali Na Yasiyotia Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…