Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar.

1747316814685.png

​
Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane

• Mkuu wa VAR: Issa Sy
• Msaidizi wa kwanza: Akhona Makalima
• Msaidizi wa pili: A. Chedrick

1747317824757.png
Pia, Soma
 
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar.

Simba wawekeze akili zao kwenye ligi kuu, huku wameshapigwa hat trick kabla ya mchezo.
 
Asante sana refa huyo
Mitano tena kwake alijua kukata midomo
 
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar.

Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane

• Mkuu wa VAR: Issa Sy
• Msaidizi wa kwanza: Akhona Makalima
• Msaidizi wa pili: A. Chedrick

Pia, Soma
Na hii ndiyo maana halisi sasa ya ubaya ubwela.
 
Atachezesha vizuri sahivi,Ile pumzi ya Moto aliyoipata kwa Yanga yeye mwenyewe anapakumbuka Tanzania tenah Hadi Aliomba tumsamehe Kosa sio lake ni la chumba cha VAR

Back
Top Bottom