ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Sjui wamekuelewa?Nawakumbusha msimu ujao mnaenda CAFCL andaeni timu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Sjui wamekuelewa?Nawakumbusha msimu ujao mnaenda CAFCL andaeni timu
hakudaka mshale?Goli la geita lilikuwa zuri sana hata kipofu angeshangilia tu
Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na matokeo ya pale Kilimanjaro kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba.
Hii imejidhihirisha kwa vitendo vya kukosa weledi kabisa hasa kulingana na kazi yake na uhusika wake kwenye mechi kati ya Geita gold dhidi ya Yanga. Jambo la kwanza ni kitendo cha yeye kushangilia goli la Geita Gold.
Kitu cha pili ni kitendo cha mshambuliaji wa Yanga Fiston kalala Mayele kukanyagwa kwa makusudi mchezo ukiwa umesimama na beki wa Geita gold Kelvin Yondani na kocha wa Yanga alipokwenda kwa mwamuzi wa akiba Eli Sasii kulalamika huyu mwamuzi alimjia juu na kumtolea maneno makali na kisha kumuita mwamuzi wa kati akimuelekeza kumpa kadi nyekundu kocha wa Yanga.
Kama haitoshi mwamuzi huyu wa akiba alidiriki kulusha chupa ya maji kwa mashabiki wa Yanga huu ni upuuzi uliotukuka. Mamlaka husika natambua mnaweza kupitia hili na huenda mliona pia pale uwanjani, sasa kazi ni kwenu kuwakumbatia watu kama hawa au kuwaadabisha kwa maslahi ya soka letu.
Nenda CAS!๐๐๐๐Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na matokeo ya pale Kilimanjaro kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba.
Hii imejidhihirisha kwa vitendo vya kukosa weledi kabisa hasa kulingana na kazi yake na uhusika wake kwenye mechi kati ya Geita gold dhidi ya Yanga. Jambo la kwanza ni kitendo cha yeye kushangilia goli la Geita Gold.
Kitu cha pili ni kitendo cha mshambuliaji wa Yanga Fiston kalala Mayele kukanyagwa kwa makusudi mchezo ukiwa umesimama na beki wa Geita gold Kelvin Yondani na kocha wa Yanga alipokwenda kwa mwamuzi wa akiba Eli Sasii kulalamika huyu mwamuzi alimjia juu na kumtolea maneno makali na kisha kumuita mwamuzi wa kati akimuelekeza kumpa kadi nyekundu kocha wa Yanga.
Kama haitoshi mwamuzi huyu wa akiba alidiriki kulusha chupa ya maji kwa mashabiki wa Yanga huu ni upuuzi uliotukuka. Mamlaka husika natambua mnaweza kupitia hili na huenda mliona pia pale uwanjani, sasa kazi ni kwenu kuwakumbatia watu kama hawa au kuwaadabisha kwa maslahi ya soka letu.
Ni kiwango Bora Sana cha Uzuzu kushabikia kitendo cha Yondani.Mechi mmebebwa halafu unakuja kujiliza liza hapa wanaume wakubembeleze?
Hizi tabia mbona zinakuwa sugu huko utopolo?
Mpira sio mchezo wa mapenzi,hivyo mtu kugongwa kidogo sio kitu cha ajabu.
Una akili nyingi sana nduguNi kiwango Bora Sana cha Uzuzu kushabikia kitendo cha Yondani.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Anaye paswa kujipanga ni aliye shangilia drawUtopolo bhana badala mjipange na nusu fainal, mpo buzzy na majungu na kudeka hovyooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] poleeeeeehAnaye paswa kujipanga ni aliye shangilia draw
Yanga anapaswa jiuliza huyu bwana alipataje draw, kujipanga Alisha kupanga tangu mwaka jana