Mwamuzi Eli Sasii na mapenzi ya wazi kwa timu ya Simba na chuki iliyopindukia kwa timu ya Yanga

Nafuatilia mechi niliyoweka mzigo hapa, Moses Phiri mnyama anaweka mpira kambani
 
Mechi mmebebwa halafu unakuja kujiliza liza hapa wanaume wakubembeleze?

Hizi tabia mbona zinakuwa sugu huko utopolo?

Mpira sio mchezo wa mapenzi,hivyo mtu kugongwa kidogo sio kitu cha ajabu.
 
Nenda CAS!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mechi mmebebwa halafu unakuja kujiliza liza hapa wanaume wakubembeleze?

Hizi tabia mbona zinakuwa sugu huko utopolo?

Mpira sio mchezo wa mapenzi,hivyo mtu kugongwa kidogo sio kitu cha ajabu.
Ni kiwango Bora Sana cha Uzuzu kushabikia kitendo cha Yondani.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Utopolo bhana badala mjipange na nusu fainal, mpo buzzy na majungu na kudeka hovyooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Anaye paswa kujipanga ni aliye shangilia draw

Yanga anapaswa jiuliza huyu bwana alipataje draw, kujipanga Alisha kupanga tangu mwaka jana
 
Anaye paswa kujipanga ni aliye shangilia draw

Yanga anapaswa jiuliza huyu bwana alipataje draw, kujipanga Alisha kupanga tangu mwaka jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] poleeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…