OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Subiria uto fc waje kupinga na hili wakati kila mtu kaona ile game!View attachment 1496809
My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.
Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
ni kweli mkuu hata timu zetu zinazonufaika na maamuzi haya zikienda nje goli kuanzia 3-5 ni kawaidaTFF badilisheni azabu za waamuzi lasivyo ligi yetu itaendelea kuwa mbovu kila wakati. Hv tuchulie mfano mtu kahongwa milioni tano apindishe matokeo afu tff inamuazibu kufungiwa miezi mitatu na faini ya laki tano hv kweli hapo kunaadhabu yenye maumivu kwa mtenda makosa kweli?. Hao waamuzi wataishia kuchezesha mechi za ndani au cecafa lakini kwenda kimataifa itakuwa ndoto
Sibiria uto fc waje kupinga na hili wakati kila mtu kaona ile game!
[/QUOTE
ile gemu ya nyau na namungo ha hii ya mabingwa wa kihistoria na lambalamba ipi marefa walizingua
kweli mkuu kuna wale waamuzi walikuwa wanaacha offside za ajabu hadi waziri mwakyembe akakemea tff wako kimya unawakumbukaView attachment 1496809
My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.
Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
View attachment 1496809

Acha povu mikia wewe.View attachment 1496809
My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.
Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapozi ya uchumi wa katiView attachment 1496827
HV HUJUI KUWA REFEREE NI KAZI YA PILI?UNADHANI HANA KAZI NYINGINE AU UMEONA KULIMA SIYO KAZI MKUUView attachment 1496809