Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

ivi wale waamuzi wa offside za ajabu zikaachwa anzia kwa namungo vs nyau walifungiwa muda gani .

hadi waziri aliingilia kati lile sakata la magoli ya offside leo nyau mnapata wapi nguvu ya kulalamika .

umenufaika na point zaid ya 15 toka kwa waamuzi leo wasema mabingwa wa kihistoria wanamuhujumu lambalamba
Ndio maana inashauriwa wanyang'anywe leseni!
 
View attachment 1496809

My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.

Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
Uko aliko anachekelea tu,kufungiwa miezi mitatu kunalingana na hongo aliopewa.
 
Adhabu kali au kunyanganya leseni sio suluhisho la matatizo ya waamuzi.maana sidhani kama kuna mtu anategemea tu filimbi maisha yake yote bila kua na shughuli nyingine yakufanya.Kwahiyo adhabu ikiwa kali ndivyo narushwa inakua kubwa.Suluhisho la kwanza hapa ni maslahi na shtahiki za waamuzi ziboreshwe.Vinginevyo hizi porojo na hizi kelele haziwezi kwisha maana mtu akiwa na njaa na anaona kuna mpunga mrefu mezani utakaomsaidia kimaisha anaweza sema potelea mbali litakalokua naliwe.
Huu ujinga unakwamisha sana maendeleo ya soka Nchini. Nyang’anya leseni ili kutoa ONYO KALI kwa waamuzi wengine.
 
Adhabu kali au kunyanganya leseni sio suluhisho la matatizo ya waamuzi.maana sidhani kama kuna mtu anategemea tu filimbi maisha yake yote bila kua na shughuli nyingine yakufanya.Kwahiyo adhabu ikiwa kali ndivyo narushwa inakua kubwa.Suluhisho la kwanza hapa ni maslahi na shtahiki za waamuzi ziboreshwe.Vinginevyo hizi porojo na hizi kelele haziwezi kwisha maana mtu akiwa na njaa na anaona kuna mpunga mrefu mezani utakaomsaidia kimaisha anaweza sema potelea mbali litakalokua naliwe.

Mkuu rushwa kwenye michezo/mpira haiwezi kuisha kwa kuboresha stahiki tu bara ni lazima nidhamu ya kazi iwepo, angalia hata huko FIFA akina Sepp Blater na Michael Platin walishawahi kutuhumiwa kwa kula rushwa pamoja na mishahara yao mikubwa kama nyumba...Ngedere ni Ngedere tu ukitaka asilete hasara fukuza mpaka ashuke kwenye mti na kummaliza kabisa hivyo na hao ni kuwaweka pembeni au fungulia mashtaka waishie Segerea
 
Back
Top Bottom