Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Ndio maana inashauriwa wanyang'anywe leseni!ivi wale waamuzi wa offside za ajabu zikaachwa anzia kwa namungo vs nyau walifungiwa muda gani .
hadi waziri aliingilia kati lile sakata la magoli ya offside leo nyau mnapata wapi nguvu ya kulalamika .
umenufaika na point zaid ya 15 toka kwa waamuzi leo wasema mabingwa wa kihistoria wanamuhujumu lambalamba
Uko aliko anachekelea tu,kufungiwa miezi mitatu kunalingana na hongo aliopewa.View attachment 1496809
My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.
Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
usikute waligawana na TFF wameishia kumbalaza tuUko aliko anachekelea tu,kufungiwa miezi mitatu kunalingana na hongo aliopewa.
Hawa wajinga wanajua kubong'oa duh yaani vitu vyote ndani unaviona.mapozi ya uchumi wa katiView attachment 1496827
Huu ujinga unakwamisha sana maendeleo ya soka Nchini. Nyang’anya leseni ili kutoa ONYO KALI kwa waamuzi wengine.
Adhabu kali au kunyanganya leseni sio suluhisho la matatizo ya waamuzi.maana sidhani kama kuna mtu anategemea tu filimbi maisha yake yote bila kua na shughuli nyingine yakufanya.Kwahiyo adhabu ikiwa kali ndivyo narushwa inakua kubwa.Suluhisho la kwanza hapa ni maslahi na shtahiki za waamuzi ziboreshwe.Vinginevyo hizi porojo na hizi kelele haziwezi kwisha maana mtu akiwa na njaa na anaona kuna mpunga mrefu mezani utakaomsaidia kimaisha anaweza sema potelea mbali litakalokua naliwe.