Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu hii ina apply hadi kwa chura kiziwi ?Kumpiga chura ni kumuongezea hatua
Kumlipa posho zote haisaidii kitu. Lengo lake halijatimia. Yeye alilenga kuwa msomali wa kwanza kuchezesha mechi kwenye kombe la dunia lakini ndoto yake ikazimwa na serikali ya kiqumer ya Trump.Mwamuzi wa Womalia, Omar Artan, ambaye alinyimwa visa ya kuingia nchini Marekani kuchezesha Kombe la Dunia linaloendelea la 2026, atalipwa posho yake yote ya mashindano hayo.
Vyanzo vya habari vimeiambia BBC Sport kwamba, ingawa Artan hatashiriki kabisa katika Kombe la Dunia, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeahidi kumlipa stahiki zake alizokuwa anastahili kulipwa endapo angechezesha.
Waamuzi hawajui kiasi halisi cha fedha watakachopokea kwa ajili ya kuchezesha Kombe la Dunia, ambacho huwa kinalipwa baada ya mashindano hayo kumalizika.
Pia, Soma: Mwamuzi Omar Artan aliyenyimwa kuingia Marekani kuchezesha Kombe la Dunia apokelewa kishujaa Somalia
Namuone huruma rais samia anaongoza vichaaKumlipa posho zote haisaidii kitu. Lengo lake halijatimia. Yeye alilenga kuwa msomali wa kwanza kuchezesha mechi kwenye kombe la dunia lakini ndoto yake ikazimwa na serikali ya kiqumer ya Trump.
Una maana gani mkuu? Serikali ya Samia ndiyo iliyomzuia Artan kuingia Marekani?Namuone huruma rais samia anaongoza vichaa
Kila refa alioangiwa mechi zake kwa nchi husika.Labda mimi ndio sielewi, kwa nini asinge badilishiwa kituo cha Canada au Mexico?
Lakini bado FIFA wapo juu ya hilo, wangeweza kubadilisha vituo vya marefa.Kila refa alioangiwa mechi zake kwa nchi husika.
Samia anaongoza vichaa
Kumbuka marefa wameingia mkataba wa kazi. Haiwezekan maamuzi ya kijinga ya marekani yakawafanya wabadili ratiba zao.Lakini bado FIFA wapo juu ya hilo, wangeweza kubadilisha vituo vya marefa.
Bado ana hiyo nafasi, 2030 inamsubiri.Kumlipa posho zote haisaidii kitu. Lengo lake halijatimia. Yeye alilenga kuwa msomali wa kwanza kuchezesha mechi kwenye kombe la dunia lakini ndoto yake ikazimwa na serikali ya kiqumer ya Trump.
Amekaribishwa kuchezesha zinazochezwa Canada, Ila hii ilikuwa n ombi kutoka Canada, sijamjua upande wa jamaa, hvy lengo lipo pale pale. Fatilia.Kumlipa posho zote haisaidii kitu. Lengo lake halijatimia. Yeye alilenga kuwa msomali wa kwanza kuchezesha mechi kwenye kombe la dunia lakini ndoto yake ikazimwa na serikali ya kiqumer ya Trump.
Kituo cha marefa wote kipo Miami Florida.Na ni lazima apite kwenye hicho kituo ili aweze kushiriki kuchezesha.Labda mimi ndio sielewi, kwa nini asinge badilishiwa kituo cha Canada au Mexico?
Huwezi kusema maaumuzi ya kijinga ya Marekani. Kuingia nchi ya watu ni wenye nchi watake na hakuna mtu wa kuhoji. Hata hapa Tanzania watu wengi tu walishazuiwa mipakani kuingia nchini.Kama ungekuwa msafiri sana wa nje ungelijua hili ni la kawaida maelfu ya watu hurudishiwa airport tena wakiwa na Visa mkononi, na ndio sababu ya kutakiwa kuwa na return ticket ya huko uendako . Na Somalia tayari ilikuwa kwenye nchi ambazo Marekani iliwaweka kwenye blacklist ya raia wake kuingia Marekani, halafu bado FIFA ikampangia kituo cha MarekaniKumbuka marefa wameingia mkataba wa kazi. Haiwezekan maamuzi ya kijinga ya marekani yakawafanya wabadili ratiba zao.
Samia anaongoza vichaa.
Hapana kwake anakanyagwa hapigwi teke😂Mkuu hii ina apply hadi kwa chura kiziwi ?