Waliomkataa huyo refu ni wanasiasa wahuni tu na mambo yao ya kihuni. Hawana sababu zozote za msingi za kumkatalia huyo refa kuingia hilo taifa la mashetani.Huwezi kusema maaumuzi ya kijinga ya Marekani. Kuingia nchi ya watu ni wenye nchi watake na hakuna mtu wa kuhoji. Hata hapa Tanzania watu wengi tu walishazuiwa mipakani kuingia nchini.Kama ungekuwa msafiri sana wa nje ungelijua hili ni la kawaida maelfu ya watu hurudishiwa airport tena wakiwa na Visa mkononi, na ndio sababu ya kutakiwa kuwa na return ticket ya huko uendako . Na Somalia tayari ilikuwa kwenye nchi ambazo Marekani iliwaweka kwenye blacklist ya raia wake kuingia Marekani, halafu bado FIFA ikampangia kituo cha Marekani
Niamini ninaposema samia
Anaongoza vichaa.