Mwamuzi Omar Artan atalipwa Posho yote ya Kombe la Dunia, licha ya kunyimwa Visa ya Marekani

Waliomkataa huyo refu ni wanasiasa wahuni tu na mambo yao ya kihuni. Hawana sababu zozote za msingi za kumkatalia huyo refa kuingia hilo taifa la mashetani.

Niamini ninaposema samia
Anaongoza vichaa.
 
akili za wabongo bhana, economy ya USA ni > 30 trillion dollars usd with per capital income > 90 000 usd one the highest in the world halafu waende kutishwa na posho ya fifa atakayolipwa huyo barbaria somali?

USA dont want muslims in their country hilo ndiyo muhimu klk yote thats why kazuiwa kuingia na haina uhusiano na hela, they just dont want muslims in the USA hasa third world muslims kama yule anayechinja watu barabarani belfast, its not about the money, wana matatizo ya kutosha na barbaria somalis huko minnesota …
 
Amekaribishwa kuchezesha zinazochezwa Canada, Ila hii ilikuwa n ombi kutoka Canada, sijamjua upande wa jamaa, hvy lengo lipo pale pale. Fatilia.
Ni usumbufu tu. Bora tu akae nyumbani atulie asije akalipuliwa bomu kwenye ndege atakayosafiria. Huu mchuzi tayari umeingia inzi, aachane kabisa na biashara hiyo.
 
Kila refa alioangiwa mechi zake kwa nchi husika.



Samia anaongoza vichaa
Marekani sio wajinga mpaka kumzuia. Lazima kuna Jambo wamelinusa kupitia huyu refa. Hasa ukizingatia anaishi uturuki.

Na moja kwa moja akapangiwa kituo cha Marekani. Kwa nini asipangiwe Canada au Mexico?

Kuna interegencia imenusa Jambo kuhusiana na huyu.
 
Exactly
 
Marekani sio wajinga kumzuia huyo Gen z, wana vyombo vyao vya kiufatiliaji pengine walisha msican na kugundua Ana uhusiano na alshabab
 
Kumlipa posho zote haisaidii kitu. Lengo lake halijatimia. Yeye alilenga kuwa msomali wa kwanza kuchezesha mechi kwenye kombe la dunia lakini ndoto yake ikazimwa na serikali ya kiqumer ya Trump.
Mbona bado kijana tu, 2032 akiwa hai atafikia tu ndoto zake. Kama heshima kwa Somalia keshaileta so hamna alichopoteza
 
Mbona kuna marefarii kibao wa kiislam wameingia? We ungesema tu Trump ana chuki na somalia sababu ya ugomvi wake na Ilhan Omar ambaye ana asili ya Somalia.

We jamaa kila kitu umejaa udini tu.
 
Marekani sio wajinga kumzuia huyo Gen z, wana vyombo vyao vya kiufatiliaji pengine walisha msican na kugundua Ana uhusiano na alshabab
Vyombo gani? Hizo ni chuki tu kwa ilhan omar, mgogoro binafsi anageuza chuki kwa somalia nzima. Kama issue ni kupinga ugaidi mbona hao Qatar, UAE wana support magaidi wa RSF ila kila uchao wanaingia USA hadi zawadi ya ndege akapokea? Wazungu wamejaa unafiki sana
 
Mbona kuna marefarii kibao wa kiislam wameingia? We ungesema tu Trump ana chuki na somalia sababu ya ugomvi wake na Ilhan Omar ambaye ana asili ya Somalia.

We jamaa kila kitu umejaa udini tu.

kwani wewe unaipenda somalia? …
 
Nice move
 
Marekani sio wajinga kumzuia huyo Gen z, wana vyombo vyao vya kiufatiliaji pengine walisha msican na kugundua Ana uhusiano na alshabab
Siyo kweli; Trump anamchukia Ilhan Omar kisiasa na ana-extend kwa wasomali wote akiwaita garbage. Kwa jumla Trump ni mbaguzi sana, ndiyo maana alipinga Obama kuwa rais na kelele hizo zikastimulate wabaguzi wengine waliomsaidia kushinda uchaguzi
 
Wewe jamaa ungekua unaficha upumbavu wako kwa kukaa kimya,
Kwani FIFA wamekwambia kua wanamlipa huyo refa ili kuwakomoa US?

Mbona unakua na akili kama za mtoto wa darasa la pili? hivi walokole hua mna matatizo gani hasa?
Huo uchumi mkubwa wa US unakusaidia nini wewe uliyepo huko madongo kuinama unashindia mihogo na maji ya chumvi?
 
Muue πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…