Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Kila taifa lina taratibu zake fikiria zanzibar wakati wa ramadhan mtu mweusi akila hadharani anapigwa ila mzungu hawamfanyi chechote na chakushangaza serikali haikemei kabisa ipo kimyaKwa hio usalama ni kwa MTU mweusi Tu sio? Wazungu wao ni salama? Ingekua ni normal procedure timu zote na marefa wote Wawe inspected Sawa, Ila unapompa MTU visa ukamkubalia Angie, halafu usubirie siku anakuja umuaibishe umrudishe bila kumpa sababu ni usalama?