Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Kila taifa lina taratibu zake fikiria zanzibar wakati wa ramadhan mtu mweusi akila hadharani anapigwa ila mzungu hawamfanyi chechote na chakushangaza serikali haikemei kabisa ipo kimyaKwa hio usalama ni kwa MTU mweusi Tu sio? Wazungu wao ni salama? Ingekua ni normal procedure timu zote na marefa wote Wawe inspected Sawa, Ila unapompa MTU visa ukamkubalia Angie, halafu usubirie siku anakuja umuaibishe umrudishe bila kumpa sababu ni usalama?
Achana namambo yaweusi wala ubaguzi nikwamba inafahamika kabisa nchi ya somalia nimiongoni mwanchi zilizowekewa vikwazo kuingia USA kitambo tu ilitakiwa jamaa atafute namna yakujinasua kabla hajachukua ndegeKwa hio usalama ni kwa MTU mweusi Tu sio? Wazungu wao ni salama? Ingekua ni normal procedure timu zote na marefa wote Wawe inspected Sawa, Ila unapompa MTU visa ukamkubalia Angie, halafu usubirie siku anakuja umuaibishe umrudishe bila kumpa sababu ni usalama?
Ana passport ya diplomat na kaomba visa kakubaliwa, sijui unaelewa maana ya hio statement? Ama natwanga Tu maji kwenye kinu.Achana namambo yaweusi wala ubaguzi nikwamba inafahamika kabisa nchi ya somalia nimiongoni mwanchi zilizowekewa vikwazo kuingia USA kitambo tu ilitakiwa jamaa atafute namna yakujinasua kabla hajachukua ndege
Ni ubaguzi tu, timu zilitakiwa zigomee michuani hii, acheze Tramp na Msen.ge wake NetanyauAu wanajaribu kupambana na uhamiaji haramu
Serikali ikemee nini sasa, ukienda nchi za watu lazima uheshimu taratibu zao, ikileta ujuaji unakula bakora.Kila taifa lina taratibu zake fikiria zanzibar wakati wa ramadhan mtu mweusi akila hadharani anapigwa ila mzungu hawamfanyi chechote na chakushangaza serikali haikemei kabisa ipo kimya
Nimemjibu huyo alieilaumu America na Kuwaita wabaguziSerikali ikemee nini sasa, ukienda nchi za watu lazima uheshimu taratibu zao, ikileta ujuaji unakula bakora.
Watu weusi mnapenda sana kuonewa huruma ukaguzi umefanyika kwawote wanaoingia USA, nakama taifa lako lipo kweny list yakutokuingia hata uwe mzungu huingii yan hata ingetokea stars amefuzu makonda asingeruhusiwa kukanyaga japo niwazir wamichezo coz ana banKwa hio usalama ni kwa MTU mweusi Tu sio? Wazungu wao ni salama? Ingekua ni normal procedure timu zote na marefa wote Wawe inspected Sawa, Ila unapompa MTU visa ukamkubalia Angie, halafu usubirie siku anakuja umuaibishe umrudishe bila kumpa sababu ni usalama?
Nendeni Urusi ambako wanawahitaji, marekani haitaki raia wanao support serikali zao zinazoua raia wake wenyewe kwa kisingizio cha usalama wa taifa.Sababu ya kuzuiwa ni usomali wake,
Long story short ukiwa Unatoka Africa, Iran, Iraq, Nchi za kilatin na Baadhi ya Nchi za Asia unakaguliwa kama Gunia la maembe, Ila ukiwa mzungu unapita Tu free.
Kuna ubaguzi wa Ajabu unaendelea huko.
Usijali Dogo Canada Wamekubali aende, na Mexico pia Wamekubali, wakimaliza hao mnaofuatwa ni Nyie, usifkiri wanaishia huko huko.Watu weusi mnapenda sana kuonewa huruma ukaguzi umefanyika kwawote wanaoingia USA, nakama taifa lako lipo kweny list yakutokuingia hata uwe mzungu huingii yan hata ingetokea stars amefuzu makonda asingeruhusiwa kukanyaga japo niwazir wamichezo coz ana ban
Cc mafweleSababu za kuzuiwa ni nini?
Upo serious kweli? Wagomee kisa huyo msomali.Ni ubaguzi tu, timu zilitakiwa zigomee michuani hii, acheze Tramp na Msen.ge wake Netanyau
Kwani msomali sio mtu.Upo serious kweli? Wagomee kisa huyo msomali.
Sijazungumzia utu wa mtu hapoKwani msomali sio mtu.