Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu dada kaolewa jamani?
Wakuu taarifa yeyote kwa great thinker ni njema na ni mtaji wa kufanyia kazi. Sidhani kama aliyetoa taarifa kakosea bali aiboreshe... Pengine tupe CV yake ili tuone kama alistahili hiko cheo nk. Pengine tueleze jinsi Rostam Aziz anavyohusika Vodacom na Uhusiano wa mzee makamba na mafisadi kama kina Rostam then kwa great thinker yeyote atatoa hitimisho la maana.
oNDOA POROJO ZISIZO NA MASHIKO.
Vodacom Tz has appointed MS Mwamvita makamba as company chief officer:markrting & corparate affairs
(michuzi blog)
Hivi wivu wa kiume haupo?Wivu wa kike huo
dada huyu nasikia ni kichwa sanaMe naamini yuko bright sana kitendo cha kutumia kitega uchumi chake vizuri na kumfikisha hapo alipo sio mchezo ni akili tosha.