Mwamvita Makamba apandishwa cheo

Mwamvita Makamba apandishwa cheo

Status
Not open for further replies.
Hongera binti. mambo makubwa mazuri yakauja kwako
 
Hii Post aliekuwepo before ni Ephraim Mafuru nadhani.
hivi yupo wapi huyu Mpiganaji kwa sasa??
 
Ephraim Mafuru inaonyesha yeye ni Marketing Director at Vodacom

Na Mwamvita ni Chief Officer... so labda ni boss wa Ephraim Mafuru sasa...
 
Congrats Mwamvita.... all the best in you new assignment
 
Wakuu taarifa yeyote kwa great thinker ni njema na ni mtaji wa kufanyia kazi. Sidhani kama aliyetoa taarifa kakosea bali aiboreshe... Pengine tupe CV yake ili tuone kama alistahili hiko cheo nk. Pengine tueleze jinsi Rostam Aziz anavyohusika Vodacom na Uhusiano wa mzee makamba na mafisadi kama kina Rostam then kwa great thinker yeyote atatoa hitimisho la maana.

kazi kweli kweli,no wonder yule Msukuma alikimbizwa Vodacoma ameamua kuwa mjasiriamali ili atengeneza corporate ladder yake mwenyewe ,kwani corporate ladder ya VodaComa imekuwa kisiasa zaidi na siyo results oriented
 
Kwani vodacom ni mali ya nani?ukifanya uchunguzi utakuta ni mali ya haohao wakina makamba
 
Kama kapewa post based on merits hongera zake ila kama ni kwa zile njia zetu za nipe nikupe I don't support
 
oNDOA POROJO ZISIZO NA MASHIKO.

Kwa waliobanwa na Vodacom, na waliokula spin za Vodacom unazoziita porojo wewe wao wanaweza kuziona - na kuiona hii movie- kama ushahidi wa kupeleka mtu kiwanja cha "The Hague" kwenye International Criminal Court hapo kama Wanyarwanda waliochocgea mauaji kwa redio walivyopelekwa Arusha.

Kwa hiyo ukiona pumba usimind, sepa tu bila hata kuhusisha handle yako. Otherwise unawapa uwanja kina Kiranga wenye njaa, na wanaoangalia concepts na facts bila kujali jina, kukula sawasawa.

Hata kama itakuwa to Mwamvita's advantage.

Somewhere somehow we must have principles above personalities.

Again, kama mnataka kumbalasa huyu demu mbalaseni on the merit, sio kwa sababu mtu kaleta tangazo hapa relevantly.

At the risk of violating "two wrongs don't make a right", tunasikia habari zilizo less relevant hapa. Lakini on the merit, hata kama mtu humpendi Mwamvita hii habari ni relevant, kwa sababu kama unaamini Mwamvita ni airhead na anapandishwa vyeo kwa sababu za kisiasa, hii ni documentation ya the rise of Mwamvita, so why would you fight this documentation?
 
Wangapi wamepandishwa vyeo makazini? si wengi? hao wanaosema haiwahusu wako right, na wale wanaosema inawahusu nao wako right pia. Kikubwa tuangalie mahali ambapo wengi tunaweza kunufaishwa kama Taifa na siyo a certain group of people.
 
Mbona na sisi tumepandishwa vyeo hata zaidi yake?
Au kwa sababu sisi hatuna majina? Yaani hatuna origin na wanasiasa?

Au wangapi walipandishwa na wengine wanapandishwa vyeo kila kukicha lakini haziwi habari?

Haya nd'o aliyasema Mwl. Nyerere siku moja. "Hata nikipigana au nikigombana na mke wangu nayo ni habari?!".

Tuataandika mangapi?
 
Vodacom Tz has appointed MS Mwamvita makamba as company chief officer:markrting & corparate affairs
(michuzi blog)

Hongera zake du hivi bado mnatembelea michuzi blog?
 
Hivi amepanda cheo au amepandishwa cheo?........kuna tofauti katika hayo mawili
 
hivi huyu ndo mtoto wa makamba kwa yule mwanafunz aliempa mimba akiwa mwl?
 
Kapandishwa kwa sifa au ni kulipa fadhila kwa baba yake kufanikisha uwekezaji uchukuaji kwenye voda com? Sioni cha mno kwa huyu zaidi ya jina la Marope so to speak. Nenda Banki kuu uone majina ya vigogo wa Danganyika ya mafisadi ndiyo utajua nimaanishacho. Kulaleki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom