Tetesi: Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa

Maigizo ya October 2020.Futeni vyama tuwe na chama kimoja dunia itatuelewa baadae ila sio kwa kuigiza uchaguzi.
 
Mkuuu umejitahidi kuleta tetesi ila hizi ni hisia tuuu kwa sasa ccm ni mkusanyiko wa wasaliti kutoka CDM kwaiyo sio mahali salama sanaaa kwa wanaccm pia wao wanajua upinzani tz huwezi kufa tangu tlp nccr sasa CDM na ACT ila kwa hili pigo ni baya sana naweza kabiri miaka10 ya upinzani ndio itarudi kama sasa saiv ila kwa zenji ACT atashinda ila sasa iyo vurugu ndani ya ccm wanamtaka mwinyi ila ccm zenji wanamtaka mbarawa damu zenji itamwangika ila hatuombei uku tz polis na jtzd watakuwa kila kona na magu 87% atashinda ila dodoma shingida arusha manyara na kusini izo ndio mbome mpya za upinzani 2020
 
Kama hawakuwahi kusikia nguvu ya uma watege masikio 'you can not train a dog using old tricks'
 
Lazima afanye hivyo, waifu anamkodolea macho, watoto wanaamkodolea macho, ndugu jamaa wanamkodolea macho, hivyo lazima lazima ajivike kilemba cha mavi japo kinanuka ila atastahimili harufu kali ya mavi ili apate kula
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tume ni huru kivipi maana mmojawapo wa wagombea ndio huiteua kwa mkono wake?

Yaani mojawapo wa wagombea hao hao ndio anaiteua yeye!

Sasa uhuru unatokea wapi!?

Halafu kuniwekea mathread yako niyapitie tena ni counter productive na useless,wewe jibu swali sawia,hizo links keep them for yourself!

Na huo “ushirikishi” unaousemea ni nini hasa?

Maana unapenda sana ku throw out some crazy terms and jargons ili u-sound intelligent wakati si kweli!
 
Mungu hua anaweka records. Ngoja tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa macho ya kaka wakubwa USA,EU,Scadnavia na China yote yapo yanatuangalia sisi.Serikali kwa sasa wanaiangalia
1.Kesi za wapinzani zitahukumiwaje
2.Je itaundwa tume huru ya uchaguzi
3.Je Uchaguzi wa October Utafanyika katika mazingira kama yale ya ule wa 2019
Iwapo haya yatakuwa sio sawa mbele ya hawa kaka wakubwa! Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi, ikiwemo ata kutouziwa mafuta,na matamko ya viongozi wetu waandamizi kutangaziwa kupelekwa mahakama za kimataifa litatolewa!! Hili alina ubishi!
Je Masilinji kwenye kesi ya kina Mbowe Watamtoa awe huru???
Je Serikali yetu inauwezo wa kuhimili Vikwazo???
2020 Tanzania inaweza weka history Duniani kwenye Demokrasia Dunia
 
Pasiko, Magufuli kumbe atagombea urais,ubunge na udiwani! One Army Soldier. Pasiko, najua unajua hofu ya huyo anayezuia wengine wasifanye siasa isipokuwa yeye na chama chake.
 
Kwasasa tumejiwekea vikwazo vya kiuchumi sisi wenyewe kwakutumia sera za majukwaani nyuma ya mikamera ambazo zinazorotesha uchumi 'policy uncertainity or regime uncertananity'
 
Umeandika nini sasa hapa we jamaa? Hizo asilimia 93 za ushindi umeziota au ndio mshapanga iwe hivyo?

By the way, the ends does not justify the means. CCM hawatakaa kuja kushinda uchaguzi hata wa ubalozi wa nyumba kumi kwa uhalali.
 
Mwenzako dr Bana kawa balozi wewe endelea kupiga kelele ipo siku utakumbukwa kwenye ufalme wa mfalme ju*a
 
Subiri mavuvuzela wakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume ni huru kivipi maana mmojawapo wa wagombea ndio huiteua kwa mkono wake?
Yaani mojawapo wa wagombea hao hao ndio anaiteua yeye!
Sasa uhuru unatokea wapi!?
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru kwa mujibu wa sheria ya kuundwa kwake, the same way Mahakama ni huru, Bunge ni huru, CAG ni huru, Ofisi ya DPP ni huru, Takukuru ni huru, Tume ya haki za binaadamu ni huru etc, vyombo vyote hivyo,wakuu wake wanateuliwa na rais. Kama mahakama ni huru, Jaji Mkuu anateuliwa na rais, why NEC isiwe huru?, tatizo la NEC sio kuwa sio tume huru, bali sio shirikishi.
Halafu kuniwekea mathread yako niyapitie tena ni counter productive na useless,wewe jibu swali sawia,hizo links keep them for yourself!
Kwa vile jf inatumia maandishi, na mimi nimejitambulisha humu kama mwandishi wa kujitegemea, wengi wanadhani kila mwandishi kazi yake ni kuandika tuu, mimi japo najiita mwandishi wa kujitegemea, actually nini ni mtangazaji wa kujitegemea, uandishi wangu ni broadcast journalist, na kuona ni kuamini, sasa tunapojadili jambo ambalo niliishalifanyia mahojiano na kusikia from the horses mouth, likiibuka, badala ya mimi kurudia kusema, natupia link, usikilize mwenyewe, it is not useless, inaweza kuwa useless kwako, lakini mimi mwenye hizo links nina proof kuwa it is not useless kwasababu kila siku kunakuja members wapya wanajiunga na wengine wazamani hii link ndio wataiona leo, hivyo nitaendelea kumwaga ma link, wenye muda watasoma.
Na huo “ushirikishi” unaousemea ni nini hasa?
Maana unapenda sana ku throw out some crazy terms and jargons ili u-sound intelligent wakati si kweli!
Nimefurahi ulivyouliza ushirikishi ni nini, hii maana yake na wewe ni mjinga mjinga fulani usiojua neno shirikishi, wala lengo langu sio kutumia jargon ili ku sound intelligent, bali kuwa intelligent pia ni relative, inafuata kanuni za relativity, unaweza kuonekana very intelligent kwa wengine na ukaonekana kilaza kwa wengine, ila kiukweli mtu asiyeelewa maana ya shirikishi, huyo ni kilaza wa ukweli kabisa!.

Kuwa shirikishi ni kuwa inclusive, NEC sio inclusive

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…