kwanza siku ya kupiga kura mawakala wote wa upinzani wanatolewa kwenye kituo halafu polisi ndio wenye amri hapoKama anao, si aulete
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza siku ya kupiga kura mawakala wote wa upinzani wanatolewa kwenye kituo halafu polisi ndio wenye amri hapoKama anao, si aulete
P
Duuh!...Mayalla mbona hadi huko Marekani wanajua kuwa rushwa inatumika kuwashawishi wapinzani halafu Takukuru imevalishwa miwani ya mbaowanaacha vyama vyao kwa hiyari
Kama hawakuwahi kusikia nguvu ya uma watege masikio 'you can not train a dog using old tricks'Habari wananchi!
Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.
Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na
1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.
2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali
3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.
4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa
5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.
Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
inatengeneza mbolea nzuri sana, haswa ya human ...
P
P. Hakika unatafuta uteuzi kwa mbinu zote! Hakika, Safari hii akiingia tu hatakusahau! La muhimu ni wewe kujitahidi kumpambania magu bila kuchoka! Usisahau kipengele muhimu sana Cha kusifu hata akifanya makosa makubwa!
Najua njaa imekuandama sana Tena kuliko Ile ya mashinji kwani ni kweli familia inahitaji kushiba muda wote na njia pekee ya kuiwezesha hilo ni kuanza kumbashiria mtoa posho ushindi wa kishindo kuliko ilivyowahi kutokea kwani yeye amekuwa mvunja rekodi kww kila aliwazalo na kulitenda! But, aibu yake sasa! Utajaza mwenyewe!
Yes Tume ni huru ila sio shirikishi.
Tembelea hapa
TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!
Wanabodi, Hii ni TV Program Alert nyingine kufuatia ile ya mwanzo. Kufuatia mjadala mkali ulioibuka humu jf kuhusu uchaguzi uliopita kama ulikuwa huru na wa haki, na kama Tume ya Uchaguzi haikuchakachua matokeo, jee iliogopa nini independent bodies zisifanye independent tallying, na badala...www.jamiiforums.com
P
Aisee pascal!!!! Tafadhali sana!! Nenda taratibu na njaa zako,usije kushangaa watu watakaposhangilia mauti yako,tunakuheshimu sana!! Na tunaamini wewe si kama wao,ila unawasujudia tu ili upate mkate wako,ila utakapo undermine uhai wa binadamu mwenzako kwa ajili ya hicho kipande cha mkate tutamuomba Mwenyezi Mungu muweza wa yote akushughulikie,na atakushughulikia mbele ua macho yetu!! Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa jpm sio binadam tena bali chotara ya lucifer na mtutsi hilo linawezekana kabisa!!!
Pasiko, Magufuli kumbe atagombea urais,ubunge na udiwani! One Army Soldier. Pasiko, najua unajua hofu ya huyo anayezuia wengine wasifanye siasa isipokuwa yeye na chama chake.Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.
Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.
Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.
Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"
Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Kwasasa tumejiwekea vikwazo vya kiuchumi sisi wenyewe kwakutumia sera za majukwaani nyuma ya mikamera ambazo zinazorotesha uchumi 'policy uncertainity or regime uncertananity'Kwa sasa macho ya kaka wakubwa USA,EU,Scadnavia na China yote yapo yanatuangalia sisi.Serikali kwa sasa wanaiangalia
1.Kesi za wapinzani zitahukumiwaje
2.Je itaundwa tume huru ya uchaguzi
3.Je Uchaguzi wa October Utafanyika katika mazingira kama yale ya ule wa 2019
Iwapo haya yatakuwa sio sawa mbele ya hawa kaka wakubwa! Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi, ikiwemo ata kutouziwa mafuta,na matamko ya viongozi wetu waandamizi kutangaziwa kupelekwa mahakama za kimataifa litatolewa!! Hili alina ubishi!
Je Masilinji kwenye kesi ya kina Mbowe Watamtoa awe huru???
Je Serikali yetu inauwezo wa kuhimili Vikwazo???
2020 Tanzania inaweza weka history Duniani kwenye Demokrasia Dunia
Umeandika nini sasa hapa we jamaa? Hizo asilimia 93 za ushindi umeziota au ndio mshapanga iwe hivyo?Duh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.
Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.
Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.
Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"
Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Mwenzako dr Bana kawa balozi wewe endelea kupiga kelele ipo siku utakumbukwa kwenye ufalme wa mfalme ju*aDuh...!, nadhani hili ni bandiko la hisia tuu, CCM na serikali yake haiwezi kuwa na uoga wa kushindwa uchaguzi kihivyo kwasababu Rais Magufuli sasa anakubalika sana hadi wapinzani wanaacha vyama vyao kwa hiyari yao na kumuunga mkono.
Tena na kwa track record ya utendaji wake uliotikuka so far, ushindi wa kishindo kwa CCM ni uhakika!, wembe ule ule uliotumika kuwanyoa wapinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ndio utatumika kuwanyoa kwenye uchaguzi mkuu.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC ni tume huru japo sio shirikishi.
Uchaguzi unaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uendeshaji uchaguzi huru na wa haki tena tutashauri kwa uchaguzi wa mwaka huu, mawakala waruhusiwe hadi kwenye tallying.
Kama uchaguzi unandeshwa very transparently kwa kura zote hadi za rais kubandikwa vituoni.
Tutawashauri mawakala wote wa vyama vyote wapewe smart phones na ku scan matokeo ya kila kituo na kutuma kwenye tallying centres za kila chama.
Ili kuthibitisha hakuna goli lolote la mkono, hakuna sababu yoyote ya NEC kuzuia independent tallying centres, ila haziruhusuwi kutangaza matokeo, ila matokeo yasipotally then they'll have a strong case to challenge with Documentary evidence, numbers don't lie.
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu ni ushindi wa kishindo cha asilimia 93% kwa CCM, hizo asilimia 7% ni Pemba na yale majimbo mawili ya Zanzibar ambayo yatakwenda ACT!.
Kanuni ya ushindi ni "the end justifies the means"
" the winner takes it all, the losers standing small"
Kwa vile kila mtu ameishajua CCM itashinda uchaguzi, bado naendelea kuisisitiza hoja hii
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Watanzania sijui tunakosea wapi?Najua chochote kinaweza kutokea, ila sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kubeti na amani ya nchi kiasi hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mavuvuzela wakujibuHabari wananchi!
Taarifa inayofanyiwa kazi na ccm hasa makada watiifu ambao ni majaji wa mahakama kuu ni kuhakikisha viongozi wakuu wa upinzani kufungwa jela walau miezi sita na kuendelea ili kupisha ccm itawazwe kushinda ngazi zote za uongozi kuanzia udiwani, ubunge na urais.
Sababu za kufanya ivyo ni pamoja na
1. Kupunguza gharama za uchaguzi kwani kwa sasa bajeti haipo/haitoshi kuendesha uchaguzi.
2. Kuufuta upinzani nchini kwa kuonyesha dunia kuwa viongozi wa upinzani ni waaharifu na mahakama imewahukumu na sio serikali
3. Hofu ya Magufuli kupunguziwa idadi ya kura.
4. Madaj ya tume huru na iwapo upinzani wakiamua kujitoa kabla ya kutolewa na tume kama ilivyofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa
5. Zanzibar kuna plani kuu mbili, kupitisha sheria kumzuia maalim seif kutogombea na inabidi akae miaka 2 kama kahama chama na pili wamfungulie kesi yoyote itakayomsababisha kufungwa au kukosa sifa ya kuwa mgombea wa urais.
Agenda kuu Kuhamia ccm ukigoma unatupiwa kesi, then kifungo wanaolengwa zaidi ni Mbowe, Lissu, Zitto. Na viongozi wote kwenye kesi ya Akwilina watafungwa isipokuwa ka Dr Masinji atatolewa kwa mlango wa nyuma.
Tume ya uchaguzi NEC ni tume huru kwa mujibu wa sheria ya kuundwa kwake, the same way Mahakama ni huru, Bunge ni huru, CAG ni huru, Ofisi ya DPP ni huru, Takukuru ni huru, Tume ya haki za binaadamu ni huru etc, vyombo vyote hivyo,wakuu wake wanateuliwa na rais. Kama mahakama ni huru, Jaji Mkuu anateuliwa na rais, why NEC isiwe huru?, tatizo la NEC sio kuwa sio tume huru, bali sio shirikishi.Tume ni huru kivipi maana mmojawapo wa wagombea ndio huiteua kwa mkono wake?
Yaani mojawapo wa wagombea hao hao ndio anaiteua yeye!
Sasa uhuru unatokea wapi!?
Kwa vile jf inatumia maandishi, na mimi nimejitambulisha humu kama mwandishi wa kujitegemea, wengi wanadhani kila mwandishi kazi yake ni kuandika tuu, mimi japo najiita mwandishi wa kujitegemea, actually nini ni mtangazaji wa kujitegemea, uandishi wangu ni broadcast journalist, na kuona ni kuamini, sasa tunapojadili jambo ambalo niliishalifanyia mahojiano na kusikia from the horses mouth, likiibuka, badala ya mimi kurudia kusema, natupia link, usikilize mwenyewe, it is not useless, inaweza kuwa useless kwako, lakini mimi mwenye hizo links nina proof kuwa it is not useless kwasababu kila siku kunakuja members wapya wanajiunga na wengine wazamani hii link ndio wataiona leo, hivyo nitaendelea kumwaga ma link, wenye muda watasoma.Halafu kuniwekea mathread yako niyapitie tena ni counter productive na useless,wewe jibu swali sawia,hizo links keep them for yourself!
Nimefurahi ulivyouliza ushirikishi ni nini, hii maana yake na wewe ni mjinga mjinga fulani usiojua neno shirikishi, wala lengo langu sio kutumia jargon ili ku sound intelligent, bali kuwa intelligent pia ni relative, inafuata kanuni za relativity, unaweza kuonekana very intelligent kwa wengine na ukaonekana kilaza kwa wengine, ila kiukweli mtu asiyeelewa maana ya shirikishi, huyo ni kilaza wa ukweli kabisa!.Na huo “ushirikishi” unaousemea ni nini hasa?
Maana unapenda sana ku throw out some crazy terms and jargons ili u-sound intelligent wakati si kweli!