Tetesi: Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa

Hayo yote uliyoandika kuhusu 'uhuru' ni kwenye karatasi tu lakini practically haipo hivyo. Katiba ya nchi inavunjwa hovyo hovyo tu.

Mfano Mh. alivyokuwa kule Kigamboni last week akasema yule aliechana Quran afukuzwe kazi na 'hata akishinda kesi' hawezi tena kuwa mtumishi wa umma. Hapo huoni ameshaingilia uhuru wa mahakama?

Uhuru uko wapi P?
 
Wewe kama siyo chizi basi hakuna chizi Tanzania. Jiwe hakubaliki hata kwa mke wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi kesi wampe Jaji Magoiga,aligombea ubunge Serengeti kwa tiketi ya CCM
 

Kuna mtu namuheshimu sana katika hii nchi ni Nabii . huwa hajichanganyi kivile , na neno lake huwa lina hekima sana . alisema kwa maono ambayo Mungu amemuonyesha . alimwambia hivi . wale waliozoea kushinda kiubwete ubwete . sasa wana wakati Mgumu . mwisho wa quote .

nadhani yanayoendelea ndani ya chama cha Mapinduzi , huyajui . chama kina tension sana ,kuhusu chadema kuliko hata kipindi Lowasa amehama . ndiyo maana unaona kamata kamata nyingi na sheria nyingi zimetungwa . Yote hayo ni kwa ajili ya chadema asikatize .

kwa wana chadema hakuna mtu anatakiwa kushukuriwa kama mbowe . haijalishi ana mapungufu ya aina gani . siasa ya sasa mbowe ameivumilia sana na ni ngumu . ni siasa ya wewe na uhai wako . kwani aidha unaweza ukahongwa na wewe una matatizo . hakuna anayweza kukata pesa huku akiwa na shida ni wachache sana.

kwa watu wa dini ni nyakati za kuombea taifa kuliko vipindi vyote vyote kuwahi kutokea .

Mungu ibariki tanzania , Mungu watie moyo wa amani na upendo wanasiasa wa tanzania .
 
Pole sana. Soma historia. Walokuwa wakimshabikia Hitler, mipango yake na mikakati ovu, hawakuamini kuwa angeweza kuondoka na kujiua. Kwa vile walimwabudu na kumtukuza kama ufanyavyo wewe. Juhudi za shetani haziishi ila hufanikiwa kwa muda mfupi tu.
 

Mkuu

Mahakama sio,Bunge sio huru,etc

Nani kakwambia vyote hivyo ni huru?

Umetolea wapi hizo conclusions ndugu yangu?

Mfumo wetu ni flawed,basically vyote vinavyofuatia hapo ni flawed!

Nani kakwambia ni huru????Mawe ndio kakwambia au nani?
 


My Brother Paskali nilitamani nikutamkie maneno yanayokufaa, ila nitavuta ulimi wangu kidogo. Ila nikuambie ukweli unaangaika sana kutafuta cheo na next time utapata tu maana kwa awamu hii walamba miguu na waimba pambio lazima mkumbukwe.
To be honest you have lost your integrate, mtu kama wewe huwezi kuwa una comment kijinga hivyo. Eti ccm ilishinda ushindi wa kishindo uchaguzi wa local Government want a rubbish comment!!! Hivi unafikiri mtoto wako wa darasa la nne anaweza kuandika ujinga huo? Huko kupendwa anakopendwa huyo unayemsifia ni kupi kunakosababisha aogope ushindani? if he knows that he can win election why is he coward like raven, aruhusu uwanja sawa wa ushindani aone kama atarudi. Paskali umejishushia hadhi kwa kusaka tonge. I hate persons who sell their Identities kwa ajili ya kutafuta ugali.Umenihudhi sana
 
Yani tokea uitwe na bunge kuhojiwa umebaki kuisifia serikali sijui walikufanyaje kule siri unaijua mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliona wapi simba au yanga ikafa kwa kuondokewa na wachezaji,timu ni mashabiki sio wachezaji hao usajiliwa kila msimu.Upinzani ni wanachama sio viongozi, uliona wapi mmea ukafa kwa kuondokewa na magugu
For the time being, you're right.
 
sarcasm at its best [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati ya maadli iliwabembeleza wanaoitwa wasaliti ndani ya ccm wasijiuzulu, tofauti na chadema haibembelezi wasaliti,
 
Tetesi au hisia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM kama mnakubalika kwa wananchi kwa nn mnatumia nguvu kubwa ?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…