Mwana-CCM mwingine amvaa Rais Mwinyi, amshutumu kukodisha visiwa na kukosa uhalali kwakuwa hakuchaguliwa bali kateuliwa tu

You know him
 
Hio Familia imelelewa na Kodi zetu leo inatunisha msuli kati ya Familia ambayo ilipaswa iwe kimya sana Ni Hio hata dada yake uku bara ni Kelele Mingi, Itafutwe dawa tu
 
Huyu mlevi apumzike naye. Angetoa sasa mapendekezo yake nini kifanyike. Maana visiwa hivyo havina miundombinu, havina maji na viko namna hiyo toka Baba yake alipopindua utawala wa Sultani.

Sasa Dr Hussein Mwinyi anakodisha kwa wawekezaji, na kwa kuwa ZNZ inategemea utalii kama major source of income, haoni kama visiwa vinavyokodishwa vitaongeza pato la nchi through tourism??
 
Waje kumchukuwa mam Yao huku ss tubaki na mwinyi wetu.

Ila ingawa mwinyi nae amezidi Sana kuuza sura kwa tv Ila Hali ya majsha ya wananchi Ni ngumu mno.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Zanzibar walikuwa wamezoea kuishi kimswebwedo. Siku zote hali ya maisha ya watu Zanzibar ilikuwa ni ngumu; sipati picha iko je sasa mnaposema ni ngumu
 
Tunacholalamika ni ugumu wa maisha na kodi kupanda kila kukicha, huku bandari ikizorota licha ya Mwinyi kusema kua mapato yameongezeka maradufu
Hapo lazima mlalamike maana mlikuwa na ilw tabia ya kusema Mimi ni mtoto wa flani mkipitisha mizigo Bure. Sasa mmebanwa kila kona. Tulieni dawa iwaimgie na baso mnae kwa miaka 7 ijayo😂
 
Point of correction; Karume hana mchango wowote katika mapinduzi ya Zanzibar, alipewa tu. A chance on Golden Plate
 
Hizi mada za Mwinyi zinaminywa kiaina, Kuna wajinga wanadhani atakuwa Rais wa JMT, eti wanamlinda asichafuke, na yeye anajitahidi aonekane kama JPM, mwache aje

Lazima ufahamu kua huko Uengereza kodi za wananchi haziliwi na watu wachache kama hapa kwetu wala hazichezewi ovyo. Usijifanye hujui au hujasikia ripoti ya CAG, tatizo sio kodi tatizo ubadhirifu wa kutisha. Na huko uengereza serekali inakua na huruma na wananchi wake na sio kupandisha kodi kila kukicha wakati miundombinu mibovu.

Mwinyi anapandisha kodi wakati bandari haipo sawa, kontena mpaka lifike znz ni zaidi ya miezi mitatu, freight imepanda maradufu, kuna baadhi ya meli zimesitisha kuja znz kutokana na kukaa nje muda mrefu haya sijui kama unayajua.
 
Ungemuuliza kwani Yangu nani alimchagua ili twende sawa. Alafu akumbuke Znz sio ya kisulutani.
 
Narudia kusema tuache chokochoko na majungu ya Kisiasa sababu uliyemtaka hakupitishwa na Chama kugombea.

Mhe Mwinyi wewe Piga kazi, wenye husband na fitna ni Wachache sana mmojawapo ni huyu anayejiita Silent Lion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…