BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Mzee wa whiskey soda na gin and tonic toka akiwa MarekaniIgnore.... Huyu karume anautamani mno urais zanzibar, na hawezi kupewa kamwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa whiskey soda na gin and tonic toka akiwa MarekaniIgnore.... Huyu karume anautamani mno urais zanzibar, na hawezi kupewa kamwe!
You know himDr. Hussein Mwinyi is by far the best compared to Balozi Ali Karume, yaani incomparable, Dr. Hussein Mwinyi ni Rais kweli kweli na mchapa kazi haswa kwa vitendo, Ali Karume is just a fellas with mustache with less discipline kwa viongozi wengi anawadharau publicly, Balozi Ali Karume hata Mama Samia alishamdharau vibaya wakiwa Zanzibar, Ali Karume hana adabu kabisa, that is what i know..!!
Hio Familia imelelewa na Kodi zetu leo inatunisha msuli kati ya Familia ambayo ilipaswa iwe kimya sana Ni Hio hata dada yake uku bara ni Kelele Mingi, Itafutwe dawa tuDr. Hussein Mwinyi is by far the best compared to Balozi Ali Karume, yaani incomparable, Dr. Hussein Mwinyi ni Rais kweli kweli na mchapa kazi haswa kwa vitendo, Ali Karume is just a fellas with mustache with less discipline kwa viongozi wengi anawadharau publicly, Balozi Ali Karume hata Mama Samia alishamdharau vibaya wakiwa Zanzibar, Ali Karume hana adabu kabisa, that is what i know..!!
hata dada yake uku bara ni Kelele Mingi
Huyu mlevi apumzike naye. Angetoa sasa mapendekezo yake nini kifanyike. Maana visiwa hivyo havina miundombinu, havina maji na viko namna hiyo toka Baba yake alipopindua utawala wa Sultani.Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo:
1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka.
2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani.
3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya kiuchumu, kwa vile yeye ni daktari na sio mchumi.
4. Amekosoa kitendo cha Mwinyi kuteuliwa na mtu mmoja tu ambae keshakufa.
Nb. Hii ni mara ya pili kwa mwinyi kukosolewa na wanaccm wenzake. Kawaida Rais hukosolewa na wapinzani, kitendo cha wana-CCM kumkosoa tena hadharani ni jambo la kushangaza sana.
Maoni yangu MWINYI ajitathmini sana na sera zake kwani inaonekana zimefeli kwani kila kukicha Zanzibar kodi zinapandishwa, kuzorota kwa bandari, mji kuwa mchafu kupindukia, barabara kujaa mashimo na mavumbi na pia kukosa kwa focus kwani anataka kufix kila kitu bila kua na rasilimali na katika muda mchache jambo linalopelekea ugumu wa maisha kuzidi Zanzibar licha ya kuahidi neeema tupu.
Huyu sii mzima sana kivile!.Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo
Zanzibar walikuwa wamezoea kuishi kimswebwedo. Siku zote hali ya maisha ya watu Zanzibar ilikuwa ni ngumu; sipati picha iko je sasa mnaposema ni ngumuWaje kumchukuwa mam Yao huku ss tubaki na mwinyi wetu.
Ila ingawa mwinyi nae amezidi Sana kuuza sura kwa tv Ila Hali ya majsha ya wananchi Ni ngumu mno.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapo lazima mlalamike maana mlikuwa na ilw tabia ya kusema Mimi ni mtoto wa flani mkipitisha mizigo Bure. Sasa mmebanwa kila kona. Tulieni dawa iwaimgie na baso mnae kwa miaka 7 ijayo😂Tunacholalamika ni ugumu wa maisha na kodi kupanda kila kukicha, huku bandari ikizorota licha ya Mwinyi kusema kua mapato yameongezeka maradufu
Point of correction; Karume hana mchango wowote katika mapinduzi ya Zanzibar, alipewa tu. A chance on Golden PlateHuyu mlevi apumzike naye. Angetoa sasa mapendekezo yake nini kifanyike. Maana visiwa hivyo havina miundombinu, havina maji na viko namna hiyo toka Baba yake alipopindua utawala wa Sultani.
Sasa Dr Hussein Mwinyi anakodisha kwa wawekezaji, na kwa kuwa ZNZ inategemea utalii kama major source of income, haoni kama visiwa vinavyokodishwa vitaongeza pato la nchi through tourism??
Hizi mada za Mwinyi zinaminywa kiaina, Kuna wajinga wanadhani atakuwa Rais wa JMT, eti wanamlinda asichafuke, na yeye anajitahidi aonekane kama JPM, mwache aje
Lazima ufahamu kua huko Uengereza kodi za wananchi haziliwi na watu wachache kama hapa kwetu wala hazichezewi ovyo. Usijifanye hujui au hujasikia ripoti ya CAG, tatizo sio kodi tatizo ubadhirifu wa kutisha. Na huko uengereza serekali inakua na huruma na wananchi wake na sio kupandisha kodi kila kukicha wakati miundombinu mibovu.Tatizo sisi wazanzibar wengi ni wavivu sana. Nakushauri hayo maneno ya wanasiasa usiyabebe wewe, mwanasiasa anapoongea ujue yeye ana jambo lake la kisiasa. Sasa na nyie sababu ya uvivu basi mnataka kila kitu bwerere tu.
Mbona hamlalamiki mnapokwenda nchi za watu hasa Uingereza ambapo kila kitu ni kodi l, tena huduma zingine kodi ni juu sana. Halafu mnaporudi mnasifia Maendeleo ya hizo nchi bila kujua kuwa zinaendeshwa na kodi, tena zimeanza karne na karne.
Mnawaza Ulojo tu, Fanyeni kazi nyie.
Rais Mwinyi endelea kubadili mazoea ya uvivu wa zanzibar na kujidekeza kupewa vya bure., na mtu mvivu siku zote hupiga majungu saaaaaana, yaani yeye kiungo anachokitumia zaidi ni Mdomo
Ungemuuliza kwani Yangu nani alimchagua ili twende sawa. Alafu akumbuke Znz sio ya kisulutani.Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo:
1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka.
2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani.
3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya kiuchumu, kwa vile yeye ni daktari na sio mchumi.
4. Amekosoa kitendo cha Mwinyi kuteuliwa na mtu mmoja tu ambae keshakufa.
Nb. Hii ni mara ya pili kwa mwinyi kukosolewa na wanaccm wenzake. Kawaida Rais hukosolewa na wapinzani, kitendo cha wana-CCM kumkosoa tena hadharani ni jambo la kushangaza sana.
Maoni yangu MWINYI ajitathmini sana na sera zake kwani inaonekana zimefeli kwani kila kukicha Zanzibar kodi zinapandishwa, kuzorota kwa bandari, mji kuwa mchafu kupindukia, barabara kujaa mashimo na mavumbi na pia kukosa kwa focus kwani anataka kufix kila kitu bila kua na rasilimali na katika muda mchache jambo linalopelekea ugumu wa maisha kuzidi Zanzibar licha ya kuahidi neeema tupu.
Narudia kusema tuache chokochoko na majungu ya Kisiasa sababu uliyemtaka hakupitishwa na Chama kugombea.Lazima ufahamu kua huko Uengereza kodi za wananchi haziliwi na watu wachache kama hapa kwetu wala hazichezewi ovyo. Usijifanye hujui au hujasikia ripoti ya CAG, tatizo sio kodi tatizo ubadhirifu wa kutisha. Na huko uengereza serekali inakua na huruma na wananchi wake na sio kupandisha kodi kila kukicha wakati miundombinu mibovu.
Mwinyi anapandisha kodi wakati bandari haipo sawa, kontena mpaka lifike znz ni zaidi ya miezi mitatu, freight imepanda maradufu, kuna baadhi ya meli zimesitisha kuja znz kutokana na kukaa nje muda mrefu haya sijui kama unayajua.