Mwana CCM Suphian akana tuhuma za kujihusisha na ushoga wakati akifanya mahojiano na Edwin Odemba

Mwana CCM Suphian akana tuhuma za kujihusisha na ushoga wakati akifanya mahojiano na Edwin Odemba

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Kama sio kweli basi badili Body movements

======


Edwin Odemba: Gazeti la Tanzania Daima, toleo la 421 la tarehe 20 April, mwaka 2019, liliandika kwenye ukurasa wake wa mbele kabisa ya kwamba Shoga Suphian awachanganya Zitto na Maalim Seif, na ikawekwa picha yako. Hatukuona mara popote ukipinga jambo hili ya kwamba wewe siyo shoga. Nami nikuulize, wewe ni shoga, si shoga?

Suphian Juma: Mimi siyo shoga. Sipendi ushoga, siufurahii ushoga, siungi mkono kwenye ushoga. Na kwa sababu nafahamu ushoga ni kitu ambacho kiko kinyume kabisa na maadili ya dini yangu ya Kiislamu, na utamaduni wangu wa Kitanzania, ustaarabu wa Kitanzania, ustaarabu wa Kiafrika, hauendani kabisa na mambo ya ushoga.

Edwin Odemba:Unahisi kwa nini walikuandika...?

Suphian Juma: Niliandika mtandaoni, sasa hivi tunaenda mahakamani...

Edwin Odemba: Walikuwa wakifikiria hivyo? Kwa sababu tuliona hata watu ambao walichafuliwa na gazeti la Tanzania Daima, Suphian, msiba, walishtaki gazeti hilo mahakamani. Na mahakama ilitoa amri ya kwamba wawalipe fidia wale watu ambao walichafuliwa na msiba. Lakini wewe hatukuona, Suphian, ukichukua hatua yoyote ile. Huenda hili nalo lilifanya watu waendelee kuamini ya kwamba wewe ni shoga.

Suphian Juma: Kuna hatua nyingi za kuchukua unapoona mtu anakutukana. Unaona labda mtu mwingine anaweza akakupiga ngumi, mwingine akatulia. Kutulia nako ni jibu. Wewe ujitafakari kwamba unalolichukulia kama ni kizuri? Sawa, mimi niliamua kutulia, utampeleka mahakamani kama watu wengine. Kwa hiyo yeye ajifunze, mwanzo wa picha kwamba alichokifanya hakikuwa kitu kizuri. Sawa? Lakini kuhusu kusema kwamba sikuwa hivyo, nilishaandika kwenye mtandao, mtandao wa kijamii nilishaandika very clear nikasema kwamba sipendezwi na hilo kitu, na huyo jamaa Msiba, hadi leo, hatuwezi kukubaliana na hilo jambo na alinikosea. Alinikosea na anatakiwa aniombe radhi.

Edwin Odemba: Hatua gani sasa za kisheria ambazo unachukua? Maanake huyu mtu, kama ambavyo unasema, ulichafuka na bado unaendelea kuchafuliwa machoni pa watu wengi ambao huenda wanaamini ya kwamba Suphian Juma Kuwili, wewe ni shoga.

Suphian Juma: Hatua nimeshaichukua ya kukaa kimya utampeleka mahakamani lakini kwa kuambia watu mitandaoni kwamba mimi siyo shoga, lakini pia kupitia mijadala ya siasa leo tunazungumza, ndiyo maana tuangalia na waambie watu, mimi siyo shoga, sihushiki na ushoga, sipendi ushoga, na sitakaa niwe shoga, na siungi masuala ya ushoga. Na wale wote ambao wanatumia silaha ya kuita watu shoga kwenye mijadala ni wapumbavu, hawana akili, wameishiwa hoja, wanapaswa kujitafakari vizuri badala ya kufanya vitu kama hivyo.

Pia soma: Gazeti la Tanzanite lawachafua Suphian Juma, Zitto na Maalim Seif. Serikali yaliacha tu!
 
Amekana kwa njia ipi?Apimwe kitaalamu na kitabibu kama miaka ile mwanamuziki mmoja na hasimu wake walivyoomba kupimwa utumikaji wa marinda yao kwa uhakiki zaidi.
 
Tanzania bana, ukimtazama vizuri hana viashiria vya kapakwa LUBES. Mengine yanabaki moyoni mwake na ni siri yake
 
Amekana kwa njia ipi?Apimwe kitaalamu na kitabibu kama miaka ile mwanamuziki mmoja na hasimu wake walivyoomba kupimwa utumikaji wa marinda yao kwa uhakiki zaidi.
😅😅 kuna case moja ilijumuisha utaalamu , dah mtu ilibidi akachunguliwe kama apakwa weseee , kitu ambacho ushahidi kama huo mahakamani hautoboi, kila nikikumbuka nachekaa.. Dr. alivyo chungulia akasema anapakuliwa ila kisayansi vikaumana maana hawakupima na vifaa bali macho wakaona rinda limechomokea nje
 
😅😅 kuna case moja ilijumuisha utaalamu , dah mtu ilibidi akachunguliwe kama apakwa weseee , kitu ambacho ushahidi kama huo mahakamani hautoboi, kila nikikumbuka nachekaa.. Dr. alivyo chungulia akasema anapakuliwa ila kisayansi vikaumana maana hawakupima na vifaa bali macho wakaona rinda limechomokea nje
Kama alikuwa na bawasiri sugu? Hatari hiyo!
 
CCM na watu wake. Na huu ndio mtaji kwa CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom