Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Siyo kweli. Huyo mwenye nguo nyeupe si ni Waziri Ally? Au unamaanisha huyo aliye nyuma ya Mwana FA?
 
Huyo mzee kama sijakosea ni mmojawapo ya waimbaji wa band ya wana njenje. Aliimba ule wimbo tupendane mpenzi
 
Maisha yana changamoto nyingi,ukichunguza sana katika jamii unaweza kuta ni wazazi wengi wametelekezwa na watoto wao.
 

Pamoja sana, kuna raia humu wanamuona FA shujaa na mondi mzushi. Unafiki nafiki tu bongo. Tujifunze kusamehe maisha yaendelee.
 
Sasa kama ni hivyo kuwa mwanamke alijilengesha, kwanini mwanaume anajiliza liza akisikia mwanae katoboa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani.Hebu kaa chini,utulie, soma Uzi wako kwa makini na uelewe nilichokisema halafu rekebisha uandishi wako ili kichwa cha habari kiendane na ujumbe wa uzi uliouleta.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…