Mzee Nyembo kamkataa,Omary Nyembo,Mzee Abdul naye kamkataa Nasib Abdul na Mzee Mwijuma kamkataa Hamis Mwijuma.
Leo wanaenda kwenye vyombo vya habari,wananza kuwalamikia Diamond Platnumz,Mwana FA na Ommy Dimpozi ila hawajui changamoto na matatizo yaliyowakuta mpaka kufikia level hizo.
Wakitaka msamaha wawafuate wajomba zao,mama zao wadogo au walezi wao akina Nasib ,Hamis na Omary wawapigie magoti,wao ili waweze kuwasaidiwa kuwaunganisha na akina Ommy Dimpoz,Diamond Platnumz na Mwana FA na si kulia lia kwenye social network havitowasaidia.