Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Mzee apambane na hali yake sio mzee apambane ya hela yote.
Tulia ili uandike vizuri, kwani unakimbizwa au unataka uonekane umekuwa wa kwanza 'ku-reply'?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unalazimisha alitaka kuandika apambane ya na hali yake?
Unaamini hajui alitaka kuandika nini?
Unaamini alikosea?
Yani mahali gani sentensi "Apambane na hali yake" na "Apambane ya hela yote" vinaonekana kuwa kitu kimoja kiasi uone ni makosa ya kiuandishi na sio sentensi tofauti kimantiki?


mtu akiandika god badala ya good unaweza fikiri amekosea kiuandishi, akiandika guilty halafu akakwambia alimaanaisha good mtizame mara mbili mbili!
Najaribu kukwambia kuwa, alichoandika ALIMAANISHA HICHO HICHO !
tulimwelewa na kina maana kimuktadha.
 
Hata kama kidogo zawadi yangu iko wapi swali uliniuliza usiku huku nikiwa na usingizi tele nikasumbua ubongo wangu.
mmmh !! Mwanawee husahau ? yallah Yallah ipo tayari tuma mtu aijie.. au nikutumie?
 
Ah mkome mwanaume akishammwagia mwanamke na kusema tam tam mnamaliza haja mnaondoka halafu mnatuita singo mazaz na kelele na kejeli za kutisha tunadanga tunauza papuche tunahangaishwa na watoto migongoni jua na mvua letu af watoto wakikuwa mnaleta uzwazwa Mani narrr

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhmhhh mama weeee ahhh humu JF kuna vituko, halafu mbona umechafukwa hiviiii, by the way pitia post zangu utaelewa kuwa sisapoti wanaume kuzalisha ovyo ovyo..... Ila bado haikufanyi usisamehe makosa yamefanywa na wazazi basi nawe unalipiza kisasi bila kujua sababu hasa ni nini kuna mengi yalitokea kipindi chao kabla na baada ya kuzaliwa wewe, so tusiwanyoshee vidole sana hawa wazazi live simple and God will bless you

Super hero daddy
 
Mzee Nyembo kamkataa,Omary Nyembo,Mzee Abdul naye kamkataa Nasib Abdul na Mzee Mwijuma kamkataa Hamis Mwijuma.
Leo wanaenda kwenye vyombo vya habari,wananza kuwalamikia Diamond Platnumz,Mwana FA na Ommy Dimpozi ila hawajui changamoto na matatizo yaliyowakuta mpaka kufikia level hizo.

Wakitaka msamaha wawafuate wajomba zao,mama zao wadogo au walezi wao akina Nasib ,Hamis na Omary wawapigie magoti,wao ili waweze kuwasaidiwa kuwaunganisha na akina Ommy Dimpoz,Diamond Platnumz na Mwana FA na si kulia lia kwenye social network havitowasaidia.
 
Back
Top Bottom