Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Kuna mwaka flan wakati wa tuzo za Kili,the Kilimanjaro Band ilishinda tuzo akapanda huyu mzee akiwa kasindikizwa na Mwana FA na mbele ya umma mwana FA alisema ni baba yake mzazi,tangu siku hiyo hadi leo ndo najua huyu mzee pichani chini mwenye nguo nyeupe ndiye baba halisi wa FAView attachment 1043422
Siyo kweli. Huyo mwenye nguo nyeupe si ni Waziri Ally? Au unamaanisha huyo aliye nyuma ya Mwana FA?
 
Huyo mzee kama sijakosea ni mmojawapo ya waimbaji wa band ya wana njenje. Aliimba ule wimbo tupendane mpenzi
Kuna mwaka flan wakati wa tuzo za Kili,the Kilimanjaro Band ilishinda tuzo akapanda huyu mzee akiwa kasindikizwa na Mwana FA na mbele ya umma mwana FA alisema ni baba yake mzazi,tangu siku hiyo hadi leo ndo najua huyu mzee pichani chini mwenye nguo nyeupe ndiye baba halisi wa FAView attachment 1043422
 
Maisha yana changamoto nyingi,ukichunguza sana katika jamii unaweza kuta ni wazazi wengi wametelekezwa na watoto wao.
 
Ila tukumbuke mzazi ni mzazi tu...mimi kwangu haijalishi nn kilitokea huko nyuma lkn wazazi wangu niliwapa upendo sawa. Ingawa kuna miaka dingi alikuwa na mchepuko akamzingua sana maza lkn mwisho wa siku walielewana na maisha yakaendelea mpk alipofariki na muda wote wa matatizo sikuwahi kuchagua upande

Pamoja sana, kuna raia humu wanamuona FA shujaa na mondi mzushi. Unafiki nafiki tu bongo. Tujifunze kusamehe maisha yaendelee.
 
Hili jambo tukilitazama kwa undani zaidi ni jambo kubwa sana na lina mzizi mrefu.

Tukumbuke mwanamke naye anachangia kutokea kwa hili jambo.

Kwa upande mwingine wanawake wanajirahisisha kwa wanaume mwishowe wanaachwa na watoto kutwlekezwa maana mwanaume hakuwa na nia na mwanamke isipokuwa ni kwa haja ya muda mfupi tu.
Sasa kama ni hivyo kuwa mwanamke alijilengesha, kwanini mwanaume anajiliza liza akisikia mwanae katoboa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi huo mie nimeukataa kwanza hatuna bond yoyote na hata tukikaa hatuna la kuongea mi na yeye mbalimbali hana mchango wowote katika Maisha yangu, ukaribu na Mimi aliuanza baada ya kusikia niko chuo kikuu, pasipo kuwa na mchango wowote katika Safari yangu ya Maisha na kielimu. Simuhitaji kwa lolote km ushauri naupata kwa aliyenilea, awepo asiwepo it doesn’t make any difference.
Safi sana [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani.Hebu kaa chini,utulie, soma Uzi wako kwa makini na uelewe nilichokisema halafu rekebisha uandishi wako ili kichwa cha habari kiendane na ujumbe wa uzi uliouleta.
Mwanamuziki mkongwe Mohamed Mwinjuma (MAZINGAZINGA) baba yake mzazi na Khamis Mwinjuma (MWANAFA) baada ya kukataliwa na mwanae na kukosa msaada kabisa ameamua kujikita zaidi kwenye muziki na kutaka kuifufua bendi ya Moro Jazz ambayo anasema ndio ndoto yake kubwa.

Pia amebainisha wala hataki tena kuomba msaada kutoka kwa mwanae huyo maana amemdhalilisha vya kutosha hivyo ameamua kupambana na hali yake.

Mpe neno mzee huyo

53545905_134281164291208_1366937534533206016_n.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom