Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Japo Sijaelewa vizuri wote hapo walikuwa wamefikwa na umauti, Ni kwamba tukitubu tunasamehewa na kwenda mahali salama
Ha ha ha... Umeipatia kidogo tu!!
Ni hivi!! Huyo jamaa wa kwanza hakuwahi kutubu !! Sasa wenzake walipo ona swahiba wao kafariki ktk Hali ile ya anasa na ufuska wa timu yao!! Wakajirekebisha na kuwahi kutubu na kumrudia Mungu!! Yeye jamaa yule hakuwa akiyajua kuwa wenzake washakuwa wacha Mungu!! Alipofufuka akaenda kuwatafuta...
 
Hata kama kidogo zawadi yangu iko wapi swali uliniuliza usiku huku nikiwa na usingizi tele nikasumbua ubongo wangu.
 
View attachment 1043422[/QUOTE]
Huyo Wazirii Ally ni Mkongwe anayejulikana siku nyingi, hata kama FA alisema ni baba yake nina uhakika kuwa wengi tu walijua sio wa kumzaa, na wala hakumaanisha hivyo.

Kina Baba watimize wajibu wao, bila hivyo watatambulishwa wengine hadharani na wewe upo.
 
Ndo dawa yenu kuuutwa kutuita singo mazaz watoto wakikuwa Tena wakiwa matajiri mnaleta makalio yenu kudai watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hichi kizazi nacho kimezidi kuwakana baba zao...

Super hero daddy
Ah mkome mwanaume akishammwagia mwanamke na kusema tam tam mnamaliza haja mnaondoka halafu mnatuita singo mazaz na kelele na kejeli za kutisha tunadanga tunauza papuche tunahangaishwa na watoto migongoni jua na mvua letu af watoto wakikuwa mnaleta uzwazwa Mani narrr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…