Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Hayo ndiyo matokeo ya kuzalisha halafu unaingia mitini halafu unajiona mjanja kuwadharau single mothers.

Mwanaume mwenzangu kama ulitelekeza mtoto na mama yake hakikisha hauhitaji msaada uzeeni.

Watoto wa siku hizi siyo wale wa enzi zile sasa hivi JINO KWA JINO. UKINIKATAA BAADAE NITAKUKATAA

Well said
 
Huyu mzee alikuwa ana piga bendi pale Malindi Club Moshi mjini yupo vizuri stegini
 
Mwanamuziki mkongwe Mohamed Mwinjuma (MAZINGAZINGA) baba yake mzazi na Khamis Mwinjuma (MWANAFA) baada ya kukataliwa na mwanae na kukosa msaada kabisa ameamua kujikita zaidi kwenye muziki na kutaka kuifufua bendi ya Moro Jazz ambayo anasema ndio ndoto yake kubwa.

Pia amebainisha wala hataki tena kuomba msaada kutoka kwa mwanae huyo maana amemdhalilisha vya kutosha hivyo ameamua kupambana na hali yake.

Mpe neno mzee huyo

53545905_134281164291208_1366937534533206016_n.jpg
Neno moja, ale jeuri yake, kuzaa na kutotunza ni sawa na kutoa mimba
 
Back
Top Bottom