Mwana FA asakwa auwawe

Mwana FA asakwa auwawe

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906

STAA Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘Mwana FA', anasakwa na watu wasiojulikana ili wamuue, baada ya kutumiwa ujumbe wenye vitisho hivyo katika akaunti yake ya mtandao wa Facebook.

Staa wa Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘Mwana FA'.

Akizungumza na paparazi wetu Juni 11 mwaka huu, Mwana FA alisema alishangazwa kukuta ujumbe huo ambao hata hivyo, hajui aliyemtumia ni nani. Katika kutaka kuwaonyesha mashabiki wake juu ya ugumu wa kazi yao hiyo, msanii huyo ‘aliupost' ujumbe huo katika akaunti zake kwenye mitandao ya Facebook na Twitter.

"Dah, nimeshangazwa sana na ujumbe huu, mwanzo nilipouona sikuuchukulia maanani, maana nilijua ni watoto wadogo tu wanachezea vitu wasivyovijua, hivyo nikaona nami niuweke kwenye peji zangu ili ndugu na mashabiki zangu waweze kujua namna kazi yetu ilivyokua na mazingira magumu.

"Lakini simu yako inanifanya sasa niogope, hivyo inabidi nifanye jitihada za kuripoti jambo hili kwenye vyombo vya usalama ili iwe fundisho kwa wengine," alisema FA.
Ujumbe huo ulikuwa ukisomeka; "Sikupendi mbwa ww, lazima nikuchome bisu la tumbo kwenye show zako na li…. Huna elimu ww bali una kisomo, mshenzi mkubwa tutakupata shoga ww, hata Fiesta tutakukamata."

Chanzo;GPL
 
kwa wasiojua tu mwana fa leo atasoma hotuba maalumu ya wasanii mbele ya jk juu ya kilio chao

itakua dodoma kwenye uzinduzi wa helohelo tanzania
 
kwa wasiojua tu mwana fa leo atasoma hotuba maalumu ya wasanii mbele ya jk juu ya kilio chao

itakua dodoma kwenye uzinduzi wa helohelo tanzania
nadhani ni maharamia
 
kwa wasiojua tu mwana fa leo atasoma hotuba maalumu ya wasanii mbele ya jk juu ya kilio chao

itakua dodoma kwenye uzinduzi wa helohelo tanzania
nadhani ni maharamia

Na flora mbasha nae atakuwepo
 
kwa wasiojua tu mwana fa leo atasoma hotuba maalumu ya wasanii mbele ya jk juu ya kilio chao

itakua dodoma kwenye uzinduzi wa helohelo tanzania
nadhani ni maharamia

Nimemsikia jana akiongelea hilo kwenye xxl
 
MwanaFatuma anatafuta kiki..Aya ma-drama tuliyazoea kwa kina Wema Sepetu.
 
Huyu ndio Serikali inatakiwa kumpatia Ulinzi . Sio Mbunge anakula mapesa tu
 
MwanaFatuma anatafuta kiki..Aya ma-drama tuliyazoea kwa kina Wema Sepetu.

Jamaa una chuki za kike sana siku hizi.

Drama zipi sasa ,wakati kuna ---- kamletea hizo ishu. Ulitaka akae kimya?
 
Hivi anavyo sema kazi yake au kazi yao ni ngumu ana ongelea kazi gani?Kuimba ndio kazi ngumu? FA ni threat kwa nani mpaka atake kuuwawa? Mmmh
 
Hivi anavyo sema kazi yake au kazi yao ni ngumu ana ongelea kazi gani?Kuimba ndio kazi ngumu? FA ni threat kwa nani mpaka atake kuuwawa? Mmmh

Threat sio lazima uwe hit sana kwani Father Nelly au Steve 2k r.i.p both walivyouwawa kwa visu walikuwa threat sana?
 
Hivi hile tamasha ladodoma la "kizalendo" kama nilivyosoma toka tweets za Makamba ni la Clouds eeh?

Jamani uzalendo haujengwi kwa matamasha, hiyo nibiashara tu na kuwadanganya wanasiasa wa TZ yetu.. Na. Wao kwa kuwa ni. Watu cheap wamejaa...

Badala ya kujenga serikali responsible kwa Watu wake, kutengenewamazingira ya kututoa. Kwenye umasikini ili watu tuwe na vipato, na ndipo tulipe kodi vizuri, then tutajenga uhusiano wa kuaminiana ili uzalendo ujengwe...sasa hawa wenzetu wanataka kujenga. Uzalendo kwa matamasha...sad!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom