Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Na wewe pia unajiita star?
Mimi najiita Deo Corleone,una lingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe pia unajiita star?
Nasikia huko Dar kuna mbwa mwitu,huwa hawaui hao au?.
Mimi najiita Deo Corleone,una lingine?
Hivi anavyo sema kazi yake au kazi yao ni ngumu ana ongelea kazi gani?Kuimba ndio kazi ngumu? FA ni threat kwa nani mpaka atake kuuwawa? Mmmh
Naona unamkubali sana, atakuwa 'anakukuna' penyewe kwenye 'kidonda' au 'jicho'Jamaa anasikika kitambo,tokea enzi hizo unakula kamasi,kama huamini muulize dada ako au kicheche wako.
Naona unamkubali sana, atakuwa 'anakukuna' penyewe kwenye 'kidonda' au 'jicho'