Mwana FA asakwa auwawe

Mwana FA asakwa auwawe

shughulia ya uzinduzi wa wimbo huo imeanza sasa hivi mbwa anaongea na wenye mbwa
 
Atakuwa kajitumia mwenyewe huo ujumbe ili asikike
 
kweli niamini mtukie kafir hadhi yako ipande leo fa anakaa meza moja na jk
 
Tanzania bwana...yaani huyu naye anajiita star? Yaani kuimba karaoke mtu unajiita star? Mhhhh, kweli kazi ipo hapa!
 
Nani amuue hamis bwana mbona unatupotezea mda hapa.
 
Waacheni wenye haki wauwawe, na msiwaogope wale wanaoua mwili
 
Tanzania bwana...yaani huyu naye anajiita star? Yaani kuimba karaoke mtu unajiita star? Mhhhh, kweli kazi ipo hapa!

Mafala wana midomo kama vicheche,usiwe kati yao,wanaoponda ya wenzao rudi angalia maisha yao_FA
 
Mh binamu mpana kama pazia la sinema lol haya tupe ubuyu basi binamu.
Nilisikia umbea mwenzangu, mmh sijui kweli, maana huyu mh kama kwel scandal zake atakuwa hatar sana , nadhan utakuwa umeelewa
 
exclusive mwana fa kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm 2015 tanga nimeipata kwa mkuu mmoja serikali
 
Chamungu ambaye kabla ya unabii
amewahi kuwa mwanachama wa
Freemasons amesema
alichofunuliwa hivi majuzi ni
kwamba bado vifo vitaendelea
kuwaandama wasanii mbalimbali na
kabla ya kumalizika kwa mwaka
huu wa 2014 kuna msanii mkubwa
wa mziki wa Bongo Fleva atafia
jukwaani.....
"Atafariki kwa ajili ya pesa na
itakuwa jukwaani, yawezekana
akawa anagombea pesa au
anatunzwa pesa jukwaani ndipo
umauti utakapomkuta," alisema
Chamungu huku akisisitiza kuwa
hayo ni maono na si hadithi.
Chamungu alifafanua kuwa vifo
vinavyohusisha pesa hutokana na
shetani ambao ni jamii ya Lucifer na
Illuminati ambapo pia hujulikana
kama Freemasons....
"Kifo chake kitavuta hisia za watu
wengi wakiwemo wakawaida na
maarufu kama ilivyotokea kwa
marehemu Kanumba lakini
hatazikwa na watu wengi kama
alivyozikwa Kanumba," alisema
 
Back
Top Bottom