Chamungu ambaye kabla ya unabii
amewahi kuwa mwanachama wa
Freemasons amesema
alichofunuliwa hivi majuzi ni
kwamba bado vifo vitaendelea
kuwaandama wasanii mbalimbali na
kabla ya kumalizika kwa mwaka
huu wa 2014 kuna msanii mkubwa
wa mziki wa Bongo Fleva atafia
jukwaani.....
"Atafariki kwa ajili ya pesa na
itakuwa jukwaani, yawezekana
akawa anagombea pesa au
anatunzwa pesa jukwaani ndipo
umauti utakapomkuta," alisema
Chamungu huku akisisitiza kuwa
hayo ni maono na si hadithi.
Chamungu alifafanua kuwa vifo
vinavyohusisha pesa hutokana na
shetani ambao ni jamii ya Lucifer na
Illuminati ambapo pia hujulikana
kama Freemasons....
"Kifo chake kitavuta hisia za watu
wengi wakiwemo wakawaida na
maarufu kama ilivyotokea kwa
marehemu Kanumba lakini
hatazikwa na watu wengi kama
alivyozikwa Kanumba," alisema