Mwana FA asakwa auwawe

Hivi anavyo sema kazi yake au kazi yao ni ngumu ana ongelea kazi gani?Kuimba ndio kazi ngumu? FA ni threat kwa nani mpaka atake kuuwawa? Mmmh

''mara anasema usalama wa taifa...hakuna ajuae..!!!''..Jay Dee bana!
 
Jamaa anasikika kitambo,tokea enzi hizo unakula kamasi,kama huamini muulize dada ako au kicheche wako.
Naona unamkubali sana, atakuwa 'anakukuna' penyewe kwenye 'kidonda' au 'jicho'
 
halafu najiuliza mbona hao watu wanataka kumfanyia mwenzao kitendo cha kinyama kumchoma kisu. Pia hizi taarifa za mwanaFA kutishiwa life yake mbona wameanza baada ya wimbo wake mpya wa mfalme kutoka. Au ni bifu la zamani alilonalo na hao watu. Sabu jamaa kama katishwa sana, dizain kama season ya fiesta ikija inabidi kama aajiri bodyguard hv
 
Chanzo: Global Publishers?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…